Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
 
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza ,lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na ki uchumi na ndipo tuwaunganishe .

WanaJf mnaonaje ?
Sisi SII Wana umoja party hivyo pambana na Wana umoja wenzio🤔
 
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
Mwenzenu nililala ndiyo naamka.Kuna chama kimesajiliwa kinaitwa umoja party?Lini tena!
 
Acha Chuki

Mmeshindwa kupambana huko huko ndani ya ccm demokrasia iheshimiwe, ndio mnatarajia kuanzisha chama mfanikiwe! Mliruhusu ccm kutegemea nguvu za dola mkiwa humo humo ndani, kwa sasa ccm haiwezi tena kupambana kwa ushawishi wa hoja, inategemea vyombo vya dola tu. Tokeni mje mpambane na vyombo vya dola, muone mavuno ya siasa za kipuuzi mlizootesha mkiwa ndani ya ccm.
 
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?

Chama cha waumini wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom