voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
Kwa kauli yako Rais Samia uliyoitoa wakati ukitetea au kujibu malalamiko kuhusu utitiri wa safari zako nje ya nchi.
Umetuthibitishia wapiga kura tunaohoji kwamba unatuchukulia kuwa wenye akili ndogo.
Hilo sio jibu tulilotarajia kulipokea toka kwa Rais wa nchi.
Ambae anajua fika kwamba hao wenye akili ndogo ndio huwa anazunguka kila kona ya nchi ili kuwaomba wampigie kura ya kumuweka madarakani.
Na baada ya kuingia Ikulu, unasema safari za kuzunguka ndani ya nchi hazina Tija kwako!
Kwamba utaishia kupewa orodha ya matatizo lukuki kutoka kwa wenye akili ndogo.
Hivyo bora utembelee nje kwa wenye pesa na akili ndogo au nimekuelewa vibaya mkuu wangu wa nchi?
Je, huwa anatumia udogo wao wa akili kama njia rahisi ya kutulaghai ili tukupigie kura na kisha huondiounakuwamwishowaumuhimuwetu au?
Lakini pia sio sahihi kuwaita wapiga kura wako kama wenye akili ndogo,wakati ukijua kuwa huo mzigo wa madeni unaozunguka ukikopa huko Ughaibuni kwa wenye akili,ndio hasa unaosababisha kelele kutoka kwetu walipaji wenye akili ndogo.
Na sio ziara zako kama ungekuwa unaenda kusalimia wajomba wewe kama wewe.
Kwa sababu mwisho wa siku mzigo wa kulipa wataubeba hao wenye akili ndogo na familia zao.
Wakati wewe na familia yako ukiwa unafurahia mafao yako ya 80%.
Hukupaswa kutuita wenye akili ndogo.
commonmwananchi
100101.