CHADEMA ndio chama pekee cha kibepari duniani kinachotembeza bakuli la michango

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,943
143,554
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa CHADEMA

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
 
Watembeze bakuli wasitembeze, sisi yanatuhusu nini? Tunachotaka kusikia ni ^war-who-knee^ wote wameondoshwa kwenye asali wanayoilamba day in and day out!
 
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa Chadema

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Mbona sisi tupo USA na tunachangia kila siku hata sasa hivi naombwa pesa na democratic na republicans. Kama Chama hakichangiwi jiulize kinapataje pesa?

Hapa US vyama havina viwanja vya mpira wala mashirika ukiona vyama havitegemei wananchi maana yake ni kwamba hakuna demokrasia. Umekurupuka ndugu yangu
 
Tatizo ni

Attachments

  • images%20(21).jpg
    images%20(21).jpg
    36.8 KB · Views: 2
  • images%20(22).jpg
    images%20(22).jpg
    8.4 KB · Views: 2
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa Chadema

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Kwahiyo ulitaka nao watuibie kama waibavyo CCM! Unatatizo la kusifia wezi.
 
Mshamba asiye na akili huyo, anabwabwaja tu.
Mbona sisi tupo USA na tunachangia kila siku hata sasa hivi naombwa pesa na democratic na republicans. Kama Chama hakichangiwi jiulize kinapataje pesa?

Hapa US vyama havina viwanja vya mpira wala mashirika ukiona vyama havitegemei wananchi maana yake ni kwamba hakuna demokrasia. Umekurupuka ndugu yangu
 
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa CHADEMA

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
akili yako ndogo mno huwezi elewa kwanini ccm ni matajiri. Akili yako ni so down kuwa you can not see the difference between CDM and CCM
 
Enzi za Tuntemeke Sanga, Makani na Mtei Chadema hatukuwa ombaomba kama utopolo!
Unazungumzia wakati ambao Chadema ilikuwa ikiruhusiwa kufanya siasa, hivi sasa Chadema haikutani na wanachama wake, nirejee kwenye CCM inayoiba pesa zetu kiasi cha kuipangia bajeti ya serikali! Ungetumia muda kushutumu bunge kuipangia bajeti CCM pesa za umma.
 
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa CHADEMA

Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara

Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Unasifia Chama ambacho viwanja vya mpira kilichoibia Wananchi vinakarabatiwa na hela ya Wananchi (serikali) lakini mapato ya kiwanja yanakwenda Chamani? Awali walikuwa wanaiba Sasa wanapora mchana kweupe.
 
Wanapora wakati Chadema mkiwa wapi?
 
Back
Top Bottom