CCM wasajilieni chama kipya kina Halima na wenzake 18 kisha waapisheni kuwa Wabunge viti Maalumu kupitia chama hicho, hakuna wa kuzuia

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
1,640
2,702
Nimekuwa Naufuatilia Mjadala wa Wabunge 19 WALIO HASI Chama chao CHADEMA na Kuapishwa na Kuwa WABUNGE VITI Maalum Bila Baraka za Chama chao na Kupelekea KUFUKUZWA UANACHAMA.

Pamoja na Kufukuzwa UANACHAMA bado BUNGE halitaki kuwavua UBUNGE na kusubiri Wafungue KESI MAHAKAMANI ili KUCHELEWESHA Zoezi la kuwavua Ubunge.

Kwa kuwa CCM inawataka Waendelee kuwa WABUNGE na UWEZO wa Kuwafanya WABUNGE wanao Ushauri kwa CCM hebu Waanzishieni CHAMA kisajiliwe kisha Waapishwe kuwa WABUNGE wa Chama hicho KIPYA kwa kuwa CCM ndio kila kitu HAKUNA WA KUWAZUIA kuliko kupotezeana Muda na Kodi za Wananchi kutumika.

20220706_162105.jpg
 
ORCA ACE

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
1,331
1,531
Ndio mjue mungu angemwscha aendelee kuishi kungekuwa na matatizo makubwa sana
Wewe ni kama mimi, nilifurai sana lile jibwa koko lilipokufa, lilipodanja nilienda kujirusha dar es salaam zoo wale jamaa wamiliki wapemba wakanizuia kuingia.
Na wao pia shenz zao kama alivyokuwa dictator JPM
 
Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
32,038
41,018
Nimekuwa Naufuatilia Mjadala wa Wabunge 19 WALIO HASI Chama chao CHADEMA na Kuapishwa na Kuwa WABUNGE VITI Maalum Bila Baraka za Chama chao na Kupelekea KUFUKUZWA UANACHAMA.

Pamoja na Kufukuzwa UANACHAMA bado BUNGE halitaki kuwavua UBUNGE na kusubiri Wafungue KESI MAHAKAMANI ili KUCHELEWESHA Zoezi la kuwavua Ubunge.

Kwa kuwa CCM inawataka Waendelee kuwa WABUNGE na UWEZO wa Kuwafanya WABUNGE wanao Ushauri kwa CCM hebu Waanzishieni CHAMA kisajiliwe kisha Waapishwe kuwa WABUNGE wa Chama hicho KIPYA kwa kuwa CCM ndio kila kitu HAKUNA WA KUWAZUIA kuliko kupotezeana Muda na Kodi za Wananchi kutumika.

Wakifanya hivyo Kiki watazipata wapi.
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom