Nasikitika sana!
Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao!
Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana...
Ni wazi bandari kuna shida kwa muda mrefu sana, na hili limekua tatizo kwa viongozi wetu kwa kuwa yanayoendelea huko yanawanyima sana usingizi.
Tatizo kubwa lipo kwa wanaoteuliwa kuongoza...
Huwa nayafuatilia kwa karibu sana mabunge ya Uingereza na Kenya.
Nilichogundua ni kwamba yako huru na yanajisimamia yenyewe
Sijaelewa bunge la Tanzania kama linafuata mfumo wa kijerumani au...
Mbunge aliyejawa na hoja zenye mashiko kwa taifa letu Mh Shabiby amehoji utaratibu unaotumiwa na serikali ya awamu ya 6 kufungua nchi kwani unaelekea kuigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi kwa kila...
Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa?
'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid...
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera amesema baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Spika Tulia kwamba kuna nafasi moja ya Ubunge iko wazi NEC imefanya Uteuzi kujaza nafasi hiyo.
Nafasi hiyo iko wazi...
Rais Samia anasema kuna diwani alikuwa anapinga operation ya kuwaondoa wamachinga na leo kwenye mkutano wa Rais kule kigamboni kagoma kuja! Huyu diwani leo tena na wananchi wake wamegomea halfla...
Kwa sasa tunashuhudia kila kukicha Rais aidha yupo ikulu ya Dar au Dodoma. Maana yake kila kilichopo Dodoma kipo Dar (ikulu) pamoja na hayo lakini akiwa Dar anapata per diem.
Nadhani ni hivyo pia...
Rais Samia Suluhu amewajali sana na kuwathamini wananchi waliohamia Msomera kwa kiasi kikubwa hawakuwahi kufikiria siku moja watakuja kumiliki mashamba makubwa ambayo ni ekari 5, nyumba za kuishi...
Ofisi ya msajili wa hazina imefanikiwa kukusanya mapato yasiyo ya kodi ya jumla ya Shilingi bilioni 852.98 ikiwa ni asilimia 109.50 ya lengo katika Mwaka wa Fedha wa 2021/22 ulioishia Juni 30...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amewataka watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kuendeleza utii, weledi na uaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote...
Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki
Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa.
RAIS Samia Suluhu Hassan yuko nchini Senegal kuhudhuria mkutano wa ngazi...
Mnamo tarehe 9/2/2021 kuna baadhi wastaafu walikuja kuwalalamikia yakuwa wamepunjwa mafao yao
Nikiwa na maana kuna baadhi katika mkataba wenu walitakiwa kupata m100 wakapata m65 nk
Na hao...
#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx
==========
Mahakama Kuu...
Bila kuchoshana twende kwenye mada..
Haiwezi kupita siku 2 ukaacha kusikia Bashungwa katoa tamko la kuagiza sijui kutoa siku kadhaa na baada ya hapo hakuna utekelezaji..
Mh.Waziri kuna namna...
Sijawahi kumsikia katu. Kama vile hatuna Waziri wa Ardhi. Idara ya Ardhi Sasa Ni ubatili mtupu, maovu ya viwanja nje nje. Wanafanya wanavyofikiria, dhuluma tupu?
Ridhwani yupo? Nchi hii imelogwa...
Namsifu mkongwe Jenerali Ulimwengu kwa kusema ukweli wake bila kupepesa macho. Hii inatupa tahadhari kuwa makini sana kama taifa kabla ya kumpa madaraka mtu yeyote ya kuongoza taifa.
Je, wewe una...
Habarini wakubwa kwa wadogo,poleni na changamoto za maisha
Wapo baadhi ya watanzania wanawaombea usiku na mchana wabunge 19 wanawake, waliojitolea kupigania haki yenu baada ya kuona jasho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.