Mahera: Tumepokea taarifa kutoka kwa Spika Tulia kuwa kuna nafasi ya Ubunge wa viti maalumu iko wazi, tumemteua Bi Abbas wa CCM kuijaza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,445
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera amesema baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Spika Tulia kwamba kuna nafasi moja ya Ubunge iko wazi NEC imefanya Uteuzi kujaza nafasi hiyo.

Nafasi hiyo iko wazi baada ya mbunge mmoja wa viti maalumu kufariki na NEC imemteua Bi Abbas kuijaza

Chanzo: TBC
 
Tuendelee kutembea vifua mbele tukilamba asali tu ndugu maana maisha yetu yana sarakasi za faulo nyingi sana katika kuupata mkate wa kila siku.
 
Mbona hukutangaza kuwa Umepokea Orodha ya Majina 19 yaliyopendekezwa na Chadema badala yake UKAPELEKA KIMYA KIMYA orodha yako Bungeni na yule Aliyekuwa Gerezani mkamtoa akaapishwe
 
Back
Top Bottom