Hiyo kesi inatakiwa kusikilizwa ndani ya siku 90 iwe imekwisha, huko 2025 utaenda nao ukipenda.Wakina Mdee wanamnyima usingizi, mara paap 2025 hii hapa
Wakina Mdee wanamnyima usingizi, mara paap 2025 hii hapa
Unaweza kuwekà ushahidi Wapi walipogoma kurudi na wapi Mbowe amesema wanamsumbua?Hao hawamkoseshi usingizi, wanao msumbua kwa usaliti wao na uroho wa madaraka ni Tundu Lissu na Lema. Mbowe kawaita warudi nchini na kuendelea na shughuli zao za KICHAMA, na wameelezwa kuwa Tanzania iko shwari na usalama wao hauna tatizo, wamegoma kurudi huko wakitoa sababu na masharti.
Ndipo wakaaona ili kuchunga nafasi zao chamani basi ni lazima Wafanye figisu na mapinduzi. Mbowe ameamua kuwapa nafasi vijana walio hapa nchini kuendeleza siasa za chama.
Huwajui ccm weweHiyo kesi inatakiwa kusikilizwa ndani ya siku 90 iwe imekwisha, huko 2025 utaenda nao ukipenda.
Matusi Sasa! Jenga hoja avoid character assassination where making arguments... Avoid ad hominem argumentsMbwa mwenye mfupa mdomoni huwa habweki.
Muda wote? Achà kejeli mtoto wa kike!Yuko kwenye Maridhiano
Mbowe ana character gani? Mmegeuzwa misukule hukoMatusi Sasa! Jenga hoja avoid character assassination where making arguments... Avoid ad hominem arguments
Maridhiano ni process bwasheeMuda wote? Achà kejeli mtoto wa kike!
Kweli Ccm imekutoa Ubongo hujui hata Sheria inasemaje KESI inatakiwa kusikiliza ndani ya Siku 90Wakina Mdee wanamnyima usingizi, mara paap 2025 hii hapa