Halima Mdee na wenzako ipo siku ukweli utafahamika pamoja na changamoto nyingi mnazopitia kupigania haki yenu

Tanzanite7

Member
Dec 8, 2020
39
58
Habarini wakubwa kwa wadogo,poleni na changamoto za maisha

Wapo baadhi ya watanzania wanawaombea usiku na mchana wabunge 19 wanawake, waliojitolea kupigania haki yenu baada ya kuona jasho mlilolipigania kwa kipindi kirefu likitaka kupokonywa

Msikate tamaa katika maisha ya siasa kwa mtu yoyote mtulivu, anae zijua siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla atakuwa upande wa aki Halima na wenzake, ila kwa yule anaetumia ushabiki wa vyama atakuwa kinyume.

Ipo siku na si mda mrefu mateso manyanyaso na chuki ndani ya chama chenu mlicho kipigania kwa jasho la damu utafika mwisho na kuibuka washindi.

Kama kuna dhambi kubwa na mbaya ni kukata tamaa na kurudi nyuma, kamwe msije kuruhusu kukatisha tamaa.
 
vipi kuhusu usaliti???
 
Umeandika ujinga mtupu.....au umekuja tafuta huruma
 
Haya mambo ni yakisiasa na maamuzi yake yanapaswa yatatuliwe kisiasa kwenye siasa kuna sayansi ya kisiasa na kuna mahesabu ya kisiasa unaweza ukapiga mahesabu vizuri ukawini au ukapiga mahesabu vibaya ukapoteza. Mimi kwa upande wangu bado sija conclude kama wakina Halima wamepoteza au wamefaidika ila kwa upande wa CDM wao kwa kiasi kikubwa sana wamepigishwa Marktime na kupoteza muda na fedha nyingi mpaka mda huu. Ila yote kwa yote wanaweza wakasahau na kuanza upya.Wakina Halima kwa sasa hakuna Lugha nyingine ya kuwaita Zaidi ya wasaliti.Lakini pia tunapaswa kuangalia tumetoka wapi.Siasa za mwenda zake zilikatisha tamaa sana watu wengi kwa hiyo hata wakina Halima walikumbwa na hali hiyo siwatetei ila nimuhimu ifike CDM iseme yote kwa yote tuanze mwanzo mpya.
 
Habarini wakubwa kwa wadogo,poleni na changamoto za maisha

Wapo baadhi ya watanzania wanawaombea usiku na mchana wabunge 19 wanawake, waliojitolea kupigania haki yenu baada ya kuona jasho mlilolipigania kwa kipindi kirefu likitaka kupokonywa

Msikate tamaa katika maisha ya siasa kwa mtu yoyote mtulivu, anae zijua siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla atakuwa upande wa aki Halima na wenzake, ila kwa yule anaetumia ushabiki wa vyama atakuwa kinyume.

Ipo siku na si mda mrefu mateso manyanyaso na chuki ndani ya chama chenu mlicho kipigania kwa jasho la damu utafika mwisho na kuibuka washindi.

Kama kuna dhambi kubwa na mbaya ni kukata tamaa na kurudi nyuma, kamwe msije kuruhusu kukatisha tamaa.
dhambi ya usaliti huwa ni mbaya sana sana na haijawahi kumwacha mtu salama huwa ni suala la muda tu.
 
Siku zote ukweli ni mfupi na uongo ni mrefu. Kwa akili za kawaida tu, endapo chadema ndio ambao wangekua wamekosea kwenye hili naamini lingeshamalizika, ila kwavile sio wao waliokosea na aliyekosea ana nguvu ya mamlaka ndo maana unaona huu mvutano unaendelea kuwepo. Haya yanawezekana kwenye hizi nchi zisizojitambua.
 
Habarini wakubwa kwa wadogo,poleni na changamoto za maisha

Wapo baadhi ya watanzania wanawaombea usiku na mchana wabunge 19 wanawake, waliojitolea kupigania haki yenu baada ya kuona jasho mlilolipigania kwa kipindi kirefu likitaka kupokonywa

Msikate tamaa katika maisha ya siasa kwa mtu yoyote mtulivu, anae zijua siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla atakuwa upande wa aki Halima na wenzake, ila kwa yule anaetumia ushabiki wa vyama atakuwa kinyume.

Ipo siku na si mda mrefu mateso manyanyaso na chuki ndani ya chama chenu mlicho kipigania kwa jasho la damu utafika mwisho na kuibuka washindi.

Kama kuna dhambi kubwa na mbaya ni kukata tamaa na kurudi nyuma, kamwe msije kuruhusu kukatisha tamaa.
Usijianike sana ukajaitwa kubwa la MAPUMBAVU. Umejuaje wakina Halima Mdee wapo kwenye haki? Unao ushaidi wa kuthibitisha hicho unachokiamini?? Kama una ufahamu/uthibitisho kwanini haujitokezi ukamaliza mzizi wa fitina??
 
16565816718294.jpg
 
Hivi hapo haki yao ni ipi kwa uelewa wako ambayo wanaipigania kina Halima, ni kuwa wabunge wa chadema au kuwa wanachama wa chadema?

Kwa vyovyote vile hakuna haki ya kulazimisha kuwa mwanachama ikiwa wenyewe hawakutaki. Ingekuwa vyema ukasema labda kama kuna mafao wanatakiwa kulipwa baada ya kufukuzwa uanachama na hawajalipwa labda ndio waende mahakamani kuyadai lakini eti kupigania haki ya kufukuzwa uanachama ni ujinga unaopatikana Tanzania pekee.

Swali la mwisho kwako, ingekuwa kina Halima sio wabunge alafu wakafukuzwa uanachama kwa uelewa wako wangeenda mahakamani kudai haki yao?
 
Habarini wakubwa kwa wadogo,poleni na changamoto za maisha

Wapo baadhi ya watanzania wanawaombea usiku na mchana wabunge 19 wanawake, waliojitolea kupigania haki yenu baada ya kuona jasho mlilolipigania kwa kipindi kirefu likitaka kupokonywa

Msikate tamaa katika maisha ya siasa kwa mtu yoyote mtulivu, anae zijua siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla atakuwa upande wa aki Halima na wenzake, ila kwa yule anaetumia ushabiki wa vyama atakuwa kinyume.

Ipo siku na si mda mrefu mateso manyanyaso na chuki ndani ya chama chenu mlicho kipigania kwa jasho la damu utafika mwisho na kuibuka washindi.

Kama kuna dhambi kubwa na mbaya ni kukata tamaa na kurudi nyuma, kamwe msije kuruhusu kukatisha tamaa.
Kwanini wasihamie ccm na wapewe kadi,waendele na ubunge wao
Maana huku uanachama wamevuliwa
Inakuwaje huko mjengoni wanatumia uwakilishi wa cdm

Ova
 
Habarini wakubwa kwa wadogo,poleni na changamoto za maisha

Wapo baadhi ya watanzania wanawaombea usiku na mchana wabunge 19 wanawake, waliojitolea kupigania haki yenu baada ya kuona jasho mlilolipigania kwa kipindi kirefu likitaka kupokonywa

Msikate tamaa katika maisha ya siasa kwa mtu yoyote mtulivu, anae zijua siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla atakuwa upande wa aki Halima na wenzake, ila kwa yule anaetumia ushabiki wa vyama atakuwa kinyume.

Ipo siku na si mda mrefu mateso manyanyaso na chuki ndani ya chama chenu mlicho kipigania kwa jasho la damu utafika mwisho na kuibuka washindi.

Kama kuna dhambi kubwa na mbaya ni kukata tamaa na kurudi nyuma, kamwe msije kuruhusu kukatisha tamaa.
Ukweli gani Sasa wakati watu walichukuliwa wakapewa ubunge mnaoita special sit na Tanzania nzima inaliju hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom