Rais Samia, teua mmoja Kati ya hawa vijana kuwa DG Bandari, utanishukuru sana

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,251
Ni wazi bandari kuna shida kwa muda mrefu sana, na hili limekua tatizo kwa viongozi wetu kwa kuwa yanayoendelea huko yanawanyima sana usingizi.

Tatizo kubwa lipo kwa wanaoteuliwa kuongoza bandari. Haapo ndio tatizo lilipo, bado hatujapata watu makini kabisa. Ila nina amini ukimteua mmoja Kati ya hawa kuwa mkurugenzi bandari, ndani ya mwaka mmoja utayaona mabadiliko ambayo hujawahi kuyaona.

1) Nickson Simon (Nikki wa Pili)
- Huyu kwa Sasa ni mkuu wa wilaya Kisarawe, ni msomi, mbunifu, mchapakazi na mwerevu sana. Ana akili kubwa na naamini ndani ya muda mfupi Kuna mageuzi makubwa sana yatatokea bandarini. Huyu ni mmoja wa vijana ambae amejitolea kwa ajili ya kupigania na kuleta Maendeleo ya taifa lake. Mpe nafasi, utanishukuru baadae

2) Kenan Kihongosi
- Huyu ni katibu mkuu uvccm taifa, kabla alikua ni mkuu wa wilaya. Ulimuamini na kumpa majukumu makubwa ya kuongoza taasisi kubwa Kama uvccm. Huyu Kama walivyo viongozi wengine ana mapungufu yake, ila ukimuweka sawa kidogo atafanya maajabu makubwa Sana

3) Humphrey Polepole
- Huyu ni balozi wetu nchini Malawi, ana uwezo mkubwa sana wa kimageuzi kwenye taasisi yoyote ile. Kama ilivyo kwa viongozi wengine, ana mapungufu yake ila ukimuweka sawa kidogo tu ana uwezo mkubwa ambao utaleta mabadiliko ambayo hayajawahi kutokea pale bandarini.

Hao vijana watatu ni hazina kubwa kwa taifa hili, mmoja Kati ya hao hasa huyo wa kwanza Nikki. Ukiwapa nafasi ya kuongoza sehemu kama bandari tutashuhudia mabadiliko makubwa ambayo hatutakujaa kuyasahau. Ila hii kuendelea kuteua watu wa hapohapo hatutafika kabisa, yatarudi yaleyale

Mheshimiwa mtukufu Raisi naomba usikilize haya maoni yetu(ya wengi). Wakati ni sasa wa mabadiliko bandarini. Tumechoka kuwa shamba la bibi.

#kazi inaendela#
#NASIMAMA NA MAMA#
#tupo tayari kwa sensa#
T2025 SSH
 
Mkuu pale TPA hta ukipelekwa wew lazima upuyange tu maaana lazma ufanye kazi kwa vimemo ,knyume na hapo utatengeliwa tu.
 
Ni wazi bandari kuna shida kwa muda mrefu sana, na hili limekua tatizo kwa viongozi wetu kwa kuwa yanayoendelea huko yanawanyima sana usingizi.

Tatizo kubwa lipo kwa wanaoteuliwa kuongoza bandari. Haapo ndio tatizo lilipo, bado hatujapata watu makini kabisa. Ila nina amini ukimteua mmoja Kati ya hawa kuwa mkurugenzi bandari, ndani ya mwaka mmoja utayaona mabadiliko ambayo hujawahi kuyaona.

1) Nickson Simon (Nikki wa Pili)
- Huyu kwa Sasa ni mkuu wa wilaya kisarawe, ni msomi, mbunifu, mchapakazi na mwerevu sana. Ana akili kubwa na naamini ndani ya muda mfupi Kuna mageuzi makubwa sana yatatokea bandarini. Huyu ni mmoja wa vijana ambae amejitolea kwa ajili ya kupigania na kuleta Maendeleo ya taifa lake. Mpe nafasi, utanishukuru baadae

2) Kenan Kihongosi
- Huyu ni katibu mkuu uvccm taifa, kabla alikua ni mkuu wa wilaya. Ulimuamini na kumpa majukumu makubwa ya kuongoza taasisi kubwa Kama uvccm. Huyu Kama walivyo viongozi wengine ana mapungufu yake, ila ukimuweka sawa kidogo atafanya maajabu makubwa Sana

3) Humphrey Polepole
- Huyu ni balozi wetu nchini Malawi, ana uwezo mkubwa sana wa kimageuzi kwenye taasisi yoyote ile. Kama ilivyo kwa viongozi wengine, ana mapungufu yake ila ukimuweka sawa kidogo tu ana uwezo mkubwa ambao utaleta mabadiliko ambayo hayajawahi kutokea pale bandarini.

Hao vijana watatu ni hazina kubwa kwa taifa hili, mmoja Kati ya hao hasa huyo wa kwanza Nikki. Ukiwapa nafasi ya kuongoza sehemu kama bandari tutashuhudia mabadiliko makubwa ambayo hatutakujaa kuyasahau. Ila hii kuendelea kuteua watu wa hapohapo hatutafika kabisa, yatarudi yaleyale

Mheshimiwa mtukufu Raisi naomba usikilize haya maoni yetu(ya wengi). Wakati ni sasa wa mabadiliko bandarini. Tumechoka kuwa shamba la bibi.

#kazi inaendela#
#NASIMAMA NA MAMA#
#tupo tayari kwa sensa#
T2025 SSH
Tatizo la bandari sio DG bali mizizi mirefu iliyokita humo.
Bandari ilishindikana enzi za Magufuli hakuna atakayeweza tena.
Huo ni mdomo wa vigogo wote Tz.
Ukileta ujuaji utapoteza maisha.
Hujiulizi kwanini kila DG anapoa akifika mule?
 
Ni wazi bandari kuna shida kwa muda mrefu sana, na hili limekua tatizo kwa viongozi wetu kwa kuwa yanayoendelea huko yanawanyima sana usingizi.

Tatizo kubwa lipo kwa wanaoteuliwa kuongoza bandari. Haapo ndio tatizo lilipo, bado hatujapata watu makini kabisa. Ila nina amini ukimteua mmoja Kati ya hawa kuwa mkurugenzi bandari, ndani ya mwaka mmoja utayaona mabadiliko ambayo hujawahi kuyaona.

1) Nickson Simon (Nikki wa Pili)
- Huyu kwa Sasa ni mkuu wa wilaya kisarawe, ni msomi, mbunifu, mchapakazi na mwerevu sana. Ana akili kubwa na naamini ndani ya muda mfupi Kuna mageuzi makubwa sana yatatokea bandarini. Huyu ni mmoja wa vijana ambae amejitolea kwa ajili ya kupigania na kuleta Maendeleo ya taifa lake. Mpe nafasi, utanishukuru baadae

2) Kenan Kihongosi
- Huyu ni katibu mkuu uvccm taifa, kabla alikua ni mkuu wa wilaya. Ulimuamini na kumpa majukumu makubwa ya kuongoza taasisi kubwa Kama uvccm. Huyu Kama walivyo viongozi wengine ana mapungufu yake, ila ukimuweka sawa kidogo atafanya maajabu makubwa Sana

3) Humphrey Polepole
- Huyu ni balozi wetu nchini Malawi, ana uwezo mkubwa sana wa kimageuzi kwenye taasisi yoyote ile. Kama ilivyo kwa viongozi wengine, ana mapungufu yake ila ukimuweka sawa kidogo tu ana uwezo mkubwa ambao utaleta mabadiliko ambayo hayajawahi kutokea pale bandarini.

Hao vijana watatu ni hazina kubwa kwa taifa hili, mmoja Kati ya hao hasa huyo wa kwanza Nikki. Ukiwapa nafasi ya kuongoza sehemu kama bandari tutashuhudia mabadiliko makubwa ambayo hatutakujaa kuyasahau. Ila hii kuendelea kuteua watu wa hapohapo hatutafika kabisa, yatarudi yaleyale

Mheshimiwa mtukufu Raisi naomba usikilize haya maoni yetu(ya wengi). Wakati ni sasa wa mabadiliko bandarini. Tumechoka kuwa shamba la bibi.

#kazi inaendela#
#NASIMAMA NA MAMA#
#tupo tayari kwa sensa#
T2025 SSH
Nilikuwa nakusoma nikiamini uko serious mpaka nilipoona umemtaja Humphrey Polepole.

Punguza ujinga wa kudhani uendeshaji wa taasisi nyeti kama bandari ni kama uendeshaji wa Siasa.

Fiche upumbavu wako, anika busara zako.
 
Back
Top Bottom