Huyu Diwani wa Kigamboni aliyemdindia Rais Samia na kugomea hafla ya utiaji saini ni nani?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,209
42,068
Rais Samia anasema kuna diwani alikuwa anapinga operation ya kuwaondoa wamachinga na leo kwenye mkutano wa Rais kule kigamboni kagoma kuja! Huyu diwani leo tena na wananchi wake wamegomea halfla ya utiaji saini wa kuchimba mchanga wakipinga mradi huo uko kigamboni!
Huyu Diwani kweli sio Sukuma gang kweli?

Nape,Bulembo mnamuachaje huyu diwani anamgombea Rais? Huyo diwani sio kiroboto? Huyu diwani hajui CCM ina wenyewe?

IMG_0420.jpg
 
View attachment 2042854
Huyu ananikumbusha mbunge aliyekataa kurudisha shilingi yake mpaka serikali itakapotoa ahadi ya pantoni Kigamboni. Uchaguzi unaofuatwa akatoswa akateuliwa Kitwana Kondo. Alikuwa anaitwa Masudi kama nakumbuka vizuri.

Amandla...
 
Rais Samia anasema kuna diwani alikuwa anapinga operation ya kuwaondoa wamachinga na leo kwenye mkutano wa Rais kule kigamboni kagoma kuja! Huyu diwani leo tena na wananchi wake wamegomea halfla ya utiaji saini wa kuchimba mchanga wakipinga mradi huo uko kigamboni!
Huyu Diwani kweli sio Sukuma gang kweli?

Nape,Bulembo mnamuachaje huyu diwani anamgombea Rais? Huyo diwani sio kiroboto? Huyu diwani hajui CCM ina wenyewe?

View attachment 2042854
Jana nilikuwa nawaza hivi hizi dalili zinaweza kuifanya nchi kupata makamu mwingine wa raisi kuwa raisi siyo?

Maana Mama hajamaliza hata miezi 10 na anapata ukinzani kutoka kila upande..... Mimi ninachokiona wasaidizi wa Mheshimiwa Raisi wa msaidie katika kumuwezesha atatue Kero za wananchi tunapoenda huku ili vugu vugu likipata mtu akalichochea nahisi kuna dalili ya mtu Ku re-sign
 
Ama kweli mama Samia ni mpole sana. Haya mambo anatakiwa kuyapatia ufumbuzi wa papo hapo. Hawa sugu au wagomeaji wa maamuzi yake wanaweza wakawa ni wengi na matokeo yake haitoleta picha njema. Hiyo alama ya kujiuliza asipende kuiweka manake inatoa mwanya wa kukosolewa
Unataka kua na kiongozi asiyekosolewa kwanini?.Inawezekana huyo diwani na wananchi wake wana hoja ya msingi na solution ni kuwasikikiza ili kupatikane ufumbuzi wakudumu nasio kuvimbishiana misuli.maana misuli kamwe haiwezi kusaidia nchi kusonga mbele.Ule ushamba wakupigiana kelele kwenye majukwaa na camera sidhani kama huyu mama anao.
 
Huu utamaduni unafikirisha sana. Hili likizoeleka kuna siku wajeda watavimba sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom