Ni muda Sasa tangu nifuzu kozi ya udereza nikisubiri Yale matrilioni ya makinikia ya Maprofesa Mruma na Osoro. Kwa kweli nilienda chapchap Veta na kujifunza kozi ya udereza nikijua MaNoah yatajaa...
Katika hali isiyo ya kawaida, mabasi/ daladala zenye TLB inayotolewa na LATRA Mbaga mpaka GEREZANI/ Kariakoo imekuwa shamba la bibi.
Kutoka kituo cha Kariakoo, Gerezani mpaka makao makuu ya LATRA...
Kinachoendelea ktk Nchi hii kuhusu Viongozi wa MASHIRIKA ya UMMA ni KAA la MOTO
USHAURI kwa SERIKALI yetu
Tuachane na Utaratibu wa TEUZI kwa VIONGOZI
wa MASHIRIKA badala yake VIONGOZI hao...
Najiuliza, kwa nini hao niliowataja hapo juu:-
(1) Walikuwa na Uzalendo sana?
(2) Walikuwa wachapakazi sana?
(3)Waliumia sana juu ya umaskini wa Wananchi?
(4) Walikuwa na akili sana za...
Eti wakuu.
Tunaposema jumuhuri ya Muungano wa Tanzania tunamaanisha nini?
Jamhuri inamaanisha nini?
Ina sifa gani?
Mbali na jamhuri, kuna vitu gani vingine?
Natanguliza shukrani.
"MAKONDA SHIKA ADABU YAKO" - MAEMBE .
AMUONYA AACHE KUFANANISHA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO NA WASAFI.
Mwanamuziki Vitalis Maembe, amemjia juu Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda na kumtaka afute kauli...
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la ujenzi wa vituo vya mafuta hapa nchini na sasa ujenzi unafanyika hadi kwenye barabara za vumbi kitu kilichokuwa nadra sana huko nyuma.
1. Je kumekuwa...
DAR ES SALAAM, July 8, 2022 – Newly appointed World Bank Vice President for Eastern and Southern Africa, Dr Victoria Kwakwa, will visit Tanzania on July 11-12, as the first stop on her maiden...
Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.
Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano...
Mkongwe Maua Daftari ameteuliwa kuwa Kamishna wa Maadili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , uteuzi huo umetangazwa na Rais wa Nchi hiyo Dkt Hussein Mwinyi .
Sina shaka na Maua Daftari , lakini...
Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11.
Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji...
Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.
Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.
Hapa chini ni maneno ya JJ...
Swali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu.
Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele?
Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake.
Halafu kama ni hivyo na baada ya CHADEMA...
Tuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi.
Walikuwa wanasiasa wenye mafao bora kabisa ya Ubunge ambayo hupewa yote kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua...
Baada ya kuwa msomaji na mfuatailiaji na mchangiaji mzuri sana wa Jamii Forums kwa muda mrefu, ingawa uchangiaji wangu hapa JF umejikita katika mambo ya biashara, ujasiriamali na mengineyo...
Benki ya Dunia imesema Uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 5.5% kwa mwaka 2021/2022 kutokana na sera nzuri za serikali.
Akitoa tathmnini ya mwenendo wa Uchumi wa Nchi, Mkurugenzi wa WB Kanda...
Nasikitika sana!
Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao!
Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana...