Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,407
54,886
Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.

Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.

Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.

Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa kuzungumza mbele ya Jpm kama alivyofanya JJ Mnyika.

Wakati huo nilimhofia sana Mnyika, lakini nadhani baada ya mengine yote yaliyokuwa yametangulia kabla ya hapo, hiyo ndiyo ikawa salama yake.

Mnyika ni mmoja wa wanasiasa wenye 'latitude' kubwa. Alipomwambia Kikwete kuwa ni dhaifu, nadhani kuna kitu kilimtokea baada ya hapo, kwani alipoa sana hadi alipoibukia kwenye huo mkutano uliouweka hapa, akionekana kuwa makali yake yapo palepale.
Nadhani aliamua tu kubadili mwenendo wa siasa zake, hadi sasa.
 
..Mnyika akiwa mkoani Simiyu leo.

Tuliogopa Mnyika angewekwa hivi.
1647533701530.jpg
 
..kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.

..angalia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.

..hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.

..wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa kuzungumza mbele ya Jpm kama alivyofanya JJ Mnyika.

Jj kama Jj
 
Back
Top Bottom