Benki ya Dunia-Uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 5.5 mwaka 2021/2022

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,138
Benki ya Dunia imesema Uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 5.5% kwa mwaka 2021/2022 kutokana na sera nzuri za serikali.

Akitoa tathmnini ya mwenendo wa Uchumi wa Nchi, Mkurugenzi wa WB Kanda ya Afrika Mashariki amesema ukuaji huo ni zaidi kupita wa mwaka 2020 wa 4.3% na unaendana na makisio ya Wizara ya fedha.

Hatua zilizochukuliwa na Serikali zikiwemo chanjo,kuboresha utalii na kuimarisha sera za fedha zimechangia ongezeko hilo la ukuaji wa uchumi wa Tanzania.

My take-Kama uchumi unakua na pesa inapatikana, serikali iendelee Kukopa Ili kufadhili miradi ya maendeleo yenye tija.

=====

Dar es Salaam. The World Bank is projecting that Tanzania’s economy will expand between 4.5 percent and 5.5 percent this year.

This is almost in line with projections by the Ministry of Finance and Planning which put Tanzania’s economic growth estimates in 2022 at 5.2 percent.

Though the growth projection is better than the 4.3 percent of 2021, it is also lower than the country’s long-run potential growth rate of about 6 percent.

In its 17th Tanzania Economic Update - which was released on Tuesday, March 1 – the World Bank attributes the growth rate to a rollback of coronavirus-related restrictions in many countries which was boosting tourism and trade.
The World Bank Country Director for Tanzania, Dr Mara Warwick, said data showed that Tanzania’s economy was recovering from the adverse effects of the global Covid-19 pandemic.

“High-frequency data suggest that economic activity in Tanzania is gradually recovering. The accommodation and restaurants, mining, and electricity sectors drove a sharp rebound in quarterly GDP during the Third Quarter of 2021,”
According to her, leading indicators such as cement production, electricity generation, private-sector credit, goods and services exports, nonfuel goods imports, telecommunications, mobility, and tourist arrivals all improved in 2021, though activity in most sectors remains below pre-pandemic levels.

She said that the risks to Tanzania’s economic outlook have moderated, but the recovery continues to hinge on external developments and domestic health policies, as well as continued support to the private sector.

“An accelerated domestic vaccination program, increased regional trade and cooperation, and policy reforms designed to improve the business environment and support the growth of the private sector have somewhat mitigated downside risks, but the emergence of new coronavirus variants, reduced capital flows, elevated debt levels, persistent inflationary pressures, and supply bottlenecks continue to threaten the projected recovery,” she said.

According to Dr Warwick, Tanzania needs to strengthen its pandemic response in the short term while laying the groundwork for a private-sector-led recovery over the medium-to-long term.

“In August 2021 Tanzania launched a nationwide Covid-19 vaccination program, but its progress has been slower than anticipated with only 3.2 million vaccine doses administered,” she said.

She added: Accelerating the pace of the vaccination program is crucial for underpinning a stable recovery of international travel and tourism, which together account for more than one-quarter of the country’s total exports.

Thecitizen
 
View attachment 2138135

View attachment 2138136
Bank ya dunia haieleweki

Hao ni wa michongo,uchumi unakuwaje 2021/2022 badala ya 2022/2023?
Au karenda yao iko nyuma?
 
Hatua zilizochukuliwa na Serikali zikiwemo chanjo..
Ndio kwani hujui? Bila chanjo mlikuwa mnazuiwa ku trade na majirani na pia watalii waliogopa kuja.

In fact serikali inalenga kuchanja watu 60% by June na Jana UsAid wametoa pesa za kusaidia hilo zoezi bil.60.
 
Wachwanjaji hawataki Sasa elimu Zaid itolee maana watu taarifa za chanjo na Corona watu wamezipuuza kbs
 
Benki ya Dunia imesema Uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 5.5% kwa mwaka 2021/2022 kutokana na sera nzuri za serikali.

Akitoa tathmnini ya mwenendo wa Uchumi wa Nchi, Mkurugenzi wa WB Kanda ya Afrika Mashariki amesema ukuaji huo ni zaidi kupita wa mwaka 2020 wa 4.3% na unaendana na makisio ya Wizara ya fedha.

Hatua zilizochukuliwa na Serikali zikiwemo chanjo,kuboresha utalii na kuimarisha sera za fedha zimechangia ongezeko hilo la ukuaji wa uchumi wa Tanzania.

My take-Kama uchumi unakua na pesa inapatikana, serikali iendelee Kukopa Ili kufadhili miradi ya maendeleo yenye tija.

=====

Dar es Salaam. The World Bank is projecting that Tanzania’s economy will expand between 4.5 percent and 5.5 percent this year.

This is almost in line with projections by the Ministry of Finance and Planning which put Tanzania’s economic growth estimates in 2022 at 5.2 percent.

Though the growth projection is better than the 4.3 percent of 2021, it is also lower than the country’s long-run potential growth rate of about 6 percent.

In its 17th Tanzania Economic Update - which was released on Tuesday, March 1 – the World Bank attributes the growth rate to a rollback of coronavirus-related restrictions in many countries which was boosting tourism and trade.
The World Bank Country Director for Tanzania, Dr Mara Warwick, said data showed that Tanzania’s economy was recovering from the adverse effects of the global Covid-19 pandemic.

“High-frequency data suggest that economic activity in Tanzania is gradually recovering. The accommodation and restaurants, mining, and electricity sectors drove a sharp rebound in quarterly GDP during the Third Quarter of 2021,”
According to her, leading indicators such as cement production, electricity generation, private-sector credit, goods and services exports, nonfuel goods imports, telecommunications, mobility, and tourist arrivals all improved in 2021, though activity in most sectors remains below pre-pandemic levels.

She said that the risks to Tanzania’s economic outlook have moderated, but the recovery continues to hinge on external developments and domestic health policies, as well as continued support to the private sector.

“An accelerated domestic vaccination program, increased regional trade and cooperation, and policy reforms designed to improve the business environment and support the growth of the private sector have somewhat mitigated downside risks, but the emergence of new coronavirus variants, reduced capital flows, elevated debt levels, persistent inflationary pressures, and supply bottlenecks continue to threaten the projected recovery,” she said.

According to Dr Warwick, Tanzania needs to strengthen its pandemic response in the short term while laying the groundwork for a private-sector-led recovery over the medium-to-long term.

“In August 2021 Tanzania launched a nationwide Covid-19 vaccination program, but its progress has been slower than anticipated with only 3.2 million vaccine doses administered,” she said.

She added: Accelerating the pace of the vaccination program is crucial for underpinning a stable recovery of international travel and tourism, which together account for more than one-quarter of the country’s total exports.

Thecitizen
Safi sana Tanzania,

Mkuu asante kwa hili
 
Huelewi kilichoandikwa au ni mahaba yamepumbaza uelewa wako?

Taarifa imesema uchumi wa Tanzania utakua kati ya 4.5 na 5.5%. Taarifa haijasema kuwa utakua kwa 5.5%.

Hivi unaelewa utofauti wa 'kati ya, na 'kwa'. Ukiwa na mahaba ya kupindukia, unakuweza kuwa mjinga wa kudumu. Uepuke ujinga wa kudumu kwa kukubali kuwa mtumwa wa ukweli badala ya kuwa mtumwa wa mahaba na unafiki.

Taarifa inasema uchumi wa Tanzania utakua kati ya 4.5 na 5.5%. Inaweza kuwa 4.6%, 4.8%, 5% au nba yoyote kati ya hiyo lower (4.5%) na upper boundary (5.5%).
 
Ndio tuende kukopa tuu? au?

Mtashindwa tuu na mazingaombwe
 
Benki ya Dunia imesema Uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 5.5% kwa mwaka 2021/2022 kutokana na sera nzuri za serikali.

Akitoa tathmnini ya mwenendo wa Uchumi wa Nchi, Mkurugenzi wa WB Kanda ya Afrika Mashariki amesema ukuaji huo ni zaidi kupita wa mwaka 2020 wa 4.3% na unaendana na makisio ya Wizara ya fedha.

Hatua zilizochukuliwa na Serikali zikiwemo chanjo,kuboresha utalii na kuimarisha sera za fedha zimechangia ongezeko hilo la ukuaji wa uchumi wa Tanzania.

My take-Kama uchumi unakua na pesa inapatikana, serikali iendelee Kukopa Ili kufadhili miradi ya maendeleo yenye tija.

=====

Dar es Salaam. The World Bank is projecting that Tanzania’s economy will expand between 4.5 percent and 5.5 percent this year.

This is almost in line with projections by the Ministry of Finance and Planning which put Tanzania’s economic growth estimates in 2022 at 5.2 percent.

Though the growth projection is better than the 4.3 percent of 2021, it is also lower than the country’s long-run potential growth rate of about 6 percent.

In its 17th Tanzania Economic Update - which was released on Tuesday, March 1 – the World Bank attributes the growth rate to a rollback of coronavirus-related restrictions in many countries which was boosting tourism and trade.
The World Bank Country Director for Tanzania, Dr Mara Warwick, said data showed that Tanzania’s economy was recovering from the adverse effects of the global Covid-19 pandemic.

“High-frequency data suggest that economic activity in Tanzania is gradually recovering. The accommodation and restaurants, mining, and electricity sectors drove a sharp rebound in quarterly GDP during the Third Quarter of 2021,”
According to her, leading indicators such as cement production, electricity generation, private-sector credit, goods and services exports, nonfuel goods imports, telecommunications, mobility, and tourist arrivals all improved in 2021, though activity in most sectors remains below pre-pandemic levels.

She said that the risks to Tanzania’s economic outlook have moderated, but the recovery continues to hinge on external developments and domestic health policies, as well as continued support to the private sector.

“An accelerated domestic vaccination program, increased regional trade and cooperation, and policy reforms designed to improve the business environment and support the growth of the private sector have somewhat mitigated downside risks, but the emergence of new coronavirus variants, reduced capital flows, elevated debt levels, persistent inflationary pressures, and supply bottlenecks continue to threaten the projected recovery,” she said.

According to Dr Warwick, Tanzania needs to strengthen its pandemic response in the short term while laying the groundwork for a private-sector-led recovery over the medium-to-long term.

“In August 2021 Tanzania launched a nationwide Covid-19 vaccination program, but its progress has been slower than anticipated with only 3.2 million vaccine doses administered,” she said.

She added: Accelerating the pace of the vaccination program is crucial for underpinning a stable recovery of international travel and tourism, which together account for more than one-quarter of the country’s total exports.

Thecitizen
MBONA HAONGELEI KUONDOLEWA AU KUSHUSHWA TZ KWENDA NCHI MASKINI KULIKO ZOTE DUNIANI?
 
Hizo ni projections tu ambazo bila shaka zilizotelewa kabla ya vita vya Ukraine.

Ila kiuhalisia unaweza kutana na mambo tofauti kabisa na ukakua kwa 1.09%.
 
Back
Top Bottom