Hivi mbona kwenye majumuisho Wizara ya Madini sisikii kuhusu makinikia

Oneya

JF-Expert Member
Mar 5, 2022
209
201
Ni muda Sasa tangu nifuzu kozi ya udereza nikisubiri Yale matrilioni ya makinikia ya Maprofesa Mruma na Osoro. Kwa kweli nilienda chapchap Veta na kujifunza kozi ya udereza nikijua MaNoah yatajaa nchini baada ya mwamba kusema tutalipwa zaidi ya trillion 400.

Làkini naona January Yuko kimyaaaa hata hayo makinikia hayaguswi Tena. Naogopa hata hii kozi niliingia tu kishabiki. Kabudi hata hasikiki, angalau mtu aje aseme kuwa kina Mruma na Osoro walitutamanisha kama vile " nikirudi nitakuletea gari, pipi.

Usilie" Jamani huko juu hakuna msemaji Tena awafuate Barrick...awakumbushe tu. Nitasahau Mimi niliyojifunza
 
Back
Top Bottom