Nafasi za Viongozi wa Mashirika ya Umma zitangazwe badala ya teuzi wenye sifa waziombe

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,068
Kinachoendelea ktk Nchi hii kuhusu Viongozi wa MASHIRIKA ya UMMA ni KAA la MOTO

USHAURI kwa SERIKALI yetu

Tuachane na Utaratibu wa TEUZI kwa VIONGOZI

wa MASHIRIKA badala yake VIONGOZI hao wapatikane kwa NAFASI hizo KUTANGAZWA ili WATANZANIA wenye SIFA nzuri Waziombe Badala ya Mtindo wa Sasa wa KUWATEUA.

Mfano Mkubwa Tunaona Jinsi UONGOZI wa BANDARI na TRA unavyosumbua TEUZI kila KUKICHA
 
Katiba inasemaje..tofauti na hapo walamba asali watakua wanawalambisha ndugu jamaa na mahasimu wao.
Na kazi ya wizi inaendelea.
We need interview kwa nafasi zote nyeti hasa za kiutendaji.
#MaendeleoHayanaChama
 
Katiba inasemaje..tofauti na hapo walamba asali watakua wanawalambisha ndugu jamaa na mahasimu wao.

Na kazi ya wizi inaendelea.

We need interview kwa nafasi zote nyeti hasa za kiutendaji.

#MaendeleoHayanaChama

Kama rais wa nchi mwenyewe anakwepa interview ili kuchaguliwa, ndio itakuwa hizo ngazi za chini?
 
CCM ina-operate kama cartel..ndio maana wanafanya hvyo hivyo kuongoza nchi..ni cartel 100% kwa style hii ni nadra sana watu waaminifu, wenye ujuzi na independent thinking kupewa nafasi..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom