Uteuzi wa IGP Camilius Wambura ni moja ya teuzi bora sana - heko kwa mamlaka za uteuzi

simonrajab

Member
Jan 15, 2022
47
16
Kalamu ya Chacha Wangwe Jr,

Kila mtanzania mwenye uelewa wa mambo anayofuraha kubwa kutokana na uteuzi uliofanywa na Rais Samia katika kumteua CAMILIUS WAMBURA kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi.

UZOEFU KATIKA MAJUKUMU MAKUBWA

-Kamanda wa Polisi Mkoa Maalum wa Kipolisi - KINONDONI

- Mkurugenzi wa Operesheni- Makao makuu DODOMA

- Kamanda wa Polisi -Kanda Maalum-DAR ES SALAAM

- Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

UMARIDADI NA HISTORIA

- Utumishi uliotukuka katika medani

-Uzalendo na uchapakazi katika majukumu mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi

-Ushiriki katika masula mbalimbali ya kijamii

-Mwanazuoni aliyefanya vizuri katika masomo na tafiti za kitaaluma

-Mwakilishi wa Tanzania katika mijadala ya Usalama ya Kimataifa

-Kachero mwenye uweledi katika kutekeleza Operesheni zenye maslahi kwa nchi yake.

-Kamanda wa Polisi aliyejipambanua katika kutetea haki na kulinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
IMG-20220720-WA0002.jpg
 
Kalamu ya Chacha Wangwe Jr,

Kila mtanzania mwenye uelewa wa mambo anayofuraha kubwa kutokana na uteuzi uliofanywa na Rais Samia katika kumteua CAMILIUS WAMBURA kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi.

UZOEFU KATIKA MAJUKUMU MAKUBWA

-Kamanda wa Polisi Mkoa Maalum wa Kipolisi - KINONDONI

- Mkurugenzi wa Operesheni- Makao makuu DODOMA

- Kamanda wa Polisi -Kanda Maalum-DAR ES SALAAM

- Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

UMARIDADI NA HISTORIA

- Utumishi uliotukuka katika medani

-Uzalendo na uchapakazi katika majukumu mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi

-Ushiriki katika masula mbalimbali ya kijamii

-Mwanazuoni aliyefanya vizuri katika masomo na tafiti za kitaaluma

-Mwakilishi wa Tanzania katika mijadala ya Usalama ya Kimataifa

-Kachero mwenye uweledi katika kutekeleza Operesheni zenye maslahi kwa nchi yake.

-Kamanda wa Polisi aliyejipambanua katika kutetea haki na kulinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.View attachment 2297614
Sijui kabisa. Hii ni kalamu ya Chacha Wangwe yupi? Anayemwagiwa sifa hizi kedekede ni Camilius Wambura yupi? Majina yanafanana au kuna kitu kisichokuwa kitu kufanywa kitu! Wangwe wa kesi kuntu? Wambura wa Hamza, gaidi wa kujitoa mhanga aliyejifunza ugaidi mitandaoni? Hao wawili wamekutana wapi? Kama ni sarcasm, nitapata usingizi. Labda ni sababu ya somo CW! Usiwe u-mura.
 
Umura umempa upofu huyo.
 
Back
Top Bottom