Hatimaye nimekuja kubaini Tanzania ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli

system hacker

JF-Expert Member
Mar 13, 2022
426
706
Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani.

Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu.

Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.

Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu.

Kama upo CCM na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.

Tahadhari: Usinyooshe Serikali. Usiguse Serikali. Usinyooshe huku na kule. Chagua upande moja kwa moja usiyumbe.

Yaani, hii ni nchi ya kunyooshana. Ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli. Sio tu hauli maisha bali hata wanawake hauli.

Prove me wrong!
 
Wamekunyoosha uko CCM sasa unachanganya madesa na Chadema.

Au unatafuta wafuasi uzi unoge? Bila Chadema hupati comment
 
Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani.

Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu.

Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.

Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu.

Kama upo CCM na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.

Tahadhari: Usinyooshe Serikali. Usiguse Serikali. Usinyooshe huku na kule. Chagua upande moja kwa moja usiyumbe.

Yaani, hii ni nchi ya kunyooshana. Ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli. Sio tu hauli maisha bali hata wanawake hauli.

Prove me wrong!
Sie wengine tupo kwenye kada ya uhandisi,tumejiajiri,tunanyoosha issues,tunapiga pesa,mambo ya uchawa,hatuyajuhi!
Kuwa chawa kama alivyokuwa Makonda,Kingai,Mollel,na wale COVID 19,ni matumizi madogo sana ya akili,
 
Jamaa amekariri sana
Yaani kwenye mada yake amegeneralize kama kwamba watu wotr humu tunaishi maisha ya kujikomba kwa wanasiasa na viongozi wa nchi
 
Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani.

Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu.

Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.

Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu.

Kama upo CCM na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.

Tahadhari: Usinyooshe Serikali. Usiguse Serikali. Usinyooshe huku na kule. Chagua upande moja kwa moja usiyumbe.

Yaani, hii ni nchi ya kunyooshana. Ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli. Sio tu hauli maisha bali hata wanawake hauli.

Prove me wrong!

Aisee umewaza nini mpaka kuja na issue hii??
 
Cheki mifumo ya biashara, cheki mifumo ya fedha, cheki mifumo ya kisiasa, cheki mifumo ya afya, cheki mifumo ya ajira........cheki kila sehemu utakubaliana nami ni nchi ngumu sana ya kiume.

The survival for the fittest. The weak must perish.
Nadhani bado hatujafika huko rasmi ila tunakaribia karibia kufika huko!!
 
Bado sana aisee ukilinganisha na nchi za wenzetu Kenya,Nigeria,Ghana,Cameroon plus other West African countries maisha yao ni ya kibabe sana kila mahali.
Usipokuwa mbabe au usipotumia akili yako nje ya box hupati hata 100.
Huko hakuna mtu atakupa hata shilingi moja kwa kazi ya uchawa.
 
Kweli kabisa !!
 
Aisee umewaza nini mpaka kuja na issue hii??
Wanaolalamika ni wale wanaonyooshwa wale wanyooshaji wala hawana habari ni km wapo peponi hv....fuatilia. Hii ni nchi ya kiume the weak must perish hakuna mtu mtu anayewazingatia the weak
 
dunia yote ni tafrani tu, lazima uwe mwamba ili uishi vizuri hakuna ulaini.

Kila mahala duniani ni ubatili na full maghumashi, bila maghumashi huwezi kutoboa, watoto wako wala wajukuu zako hawawezi kuishi vizuri.

Seti mambo yako in auto mode na yeyote akigusa lazima apigwe short kali.
 
Bado sana aisee ukilinganisha na nchi za wenzetu Kenya,Nigeria,Ghana,Cameroon plus other West African countries maisha yao ni ya kibabe sana kila mahali.
Usipokuwa mbabe au usipotumia akili yako nje ya box hupati hata 100.
Huko hakuna mtu atakupa hata shilingi moja kwa kazi ya uchawa.
Tofautisha uchawa na kunyooshana. Hapa sizungumzii uchawa nazungumzia kunyooshana. Got it? Mifumo ya biashara ina uchawa gani? Mifumo ya fedha ina uchawa gani? Usikariri comrade utanyooshwa mie sipo shauri yako
 
Back
Top Bottom