Vmatongo
Senior Member
- Dec 8, 2021
- 158
- 240
Hawa wafanyakazi wanaolalamika kwamba wametapeliwa mishahara yao wengi ni walimu na wanashaangaa eti kwa nini Chadema haiwasemei. Huku John Mnyika akiwa busy na mambo mengine kama hakujatokea kitu nchini. Nilipojaribu kufanya ka utafiti kadogo kwa nini Chadema hawashobokei hili jambo.
Haya ndio yalikuwa majibu, walimu ndio mabingwa wa kuhujumu uchaguzi, uwizi wa kura huwa wanatumika wao wakishirikiana na polisi.
Kwa hiyo kuingilia hili jambo ni kama kuwasaidia Polisi na walimu. Kwa maneno mafupi Chadema wameamua kila afe na bakuli lake kama ambavyo wao huwa wanakufa!