Hivi BAVICHA na UVCCM bado zinaishi? Wenyeviti wao ni akina nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,106
Vijana ndio injini ya siasa za nchi yoyote ile duniani

Hapa Tanzania taasisi mashuhuri za vijana ni UVCCM na wadogo zao Bavicha

Lakini kwa muda sasa hizi taasisi ziko kimya hata viongozi wao hawajulikani.

Kulikoni Vijana?
 
Kwenyeshida eti unawakumbuka BAVICHA huku unasema walikufa!
 
Vijana ndio injini ya siasa za nchi yoyote ile duniani

Hapa Tanzania taasisi mashuhuri za vijana ni UVCCM na wadogo zao Bavicha

Lakini kwa muda sasa hizi taasisi ziko kimya hata viongozi wao hawajulikani.

Kulikoni Vijana?
Duh wee uko dunia gani???
 
Back
Top Bottom