Baada ya kumalizika kwa Kamati kuu ya chama iliyoketi kwa siku mbili hapa Dodoma, Kamati kuu ilimpongeza mh Mwigulu Nchemba kwa jitihada zake za dhati katika kupambana na kuisaidia serikali hasa...
Wakuu, Zitto yupo live anamwaga radhi. Speech yake nitawawekeeni hapa soon
Audio:
http://dl.dropbox.com/u/45679339/121106_001%20(1).MP3
Ona uhusiano mkubwa hapa, hoja ya Ndugu Zitto hapa chini...
Ni almost wiki sasa maji Kimara hakuna na sio wiki hii tu maji kwa mkoa wa Dar ni ngumu kutoka wa wiki nzima bila kukatika na yanaweza yakakata hata siku kumi bila notice wala sababu za msingi...
Kwa miaka mingi, na hata kwa sasa, Serikali imekuwa na mikakati ya kuondoa/kupunguza umaskini km MKUKUTA. LAKINI! Hadi leo kiwango cha umaskini bado hakijabadilika. Tunachoshudia ni juhudi za...
Habari ndugu wanajamii forums
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa muda mrefu takribani miaka 20.
Kinachonifurahisha kwa mwanasiasa yoyote ni uwezo wa kujenga hoja. Ukiangalia...
Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Amekuwa makamu wa raisi kwa miaka mitano na sasa ni raisi hatujui ya mungu mengi kama 2025 atafika
Kwa kuangalia mwenendo mzima jinsi anavyoongoza wananchi ni wazi kuwa anafaa apumzike kwani...
Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo...
Wed,July 9th 2014
Mhe.Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mwigulu Nchemba alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC, nchini Marekani.
at 1:05 PM
Source; Vijimambo
Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu ameipa bodi mpya ya wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD)hadi ifikapo September 30 bohari hiyo iwe imebadilishwa kiutendaji na kurudishwa kwa mifumo ya tehama...
Kiidadi Watumishi wa umma ni wachache na hata kura zao Hazina impact kwa Chama chochote cha siasa iwe Chadema au CCM
Wafanyakazi katika selta binafsi ndio Kundi kubwa na kiukweli ndio...
Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa...
Habari zenu wana jamvi, ni matumaini yangu kuwa muwazima na wenye matatizo ya hapa na pale polen sana, naamin Mungu ni mwema penye tatizo ataweka wepesi.
Niende kwenye maada moja kwa moja, hivi...
walimu na kada nyingine ikiwemo wakulima na wafugaji wao ni kuchangia mapato ya taifa huku wakiishi kama mashetani angalieni maisha ya sasa yupi ana nafuu zaidi ya hao wanaoitwa wabunge waliopo...
Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!
Taarifa zetu za Uchunguzi zinaonyesha kwamba Chuo cha Ufundi cha Taifa (VETA), kwa sasa ndio Taasisi duni kabisa miongoni mwa Taasisi kongwe za serikali ya Tanzania, zipo habari kwamba kwa sasa...
Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za...
Jeshi la polisi lasema litawachukulia hatua Watu wote wanaochochea migomo.
Onyo hilo limetolewa na mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Kamanda Mutafungwa kufuatia tishio la Madereva kugoma...
Kuna maneno yanasemwa sana humu JF kwamba watu wanamuonea wivu Januari Makamba ndio maana wanamkosoa juu ya utendaji wake wa kazi ni kwa sababu tu ametoka kwenye familia bora ya uongozi
Watoto wa...