Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mhe. Dkt Harrison G. Mwakyembe(MB) ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
5 Reactions
162 Replies
29K Views
Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka...
29 Reactions
149 Replies
12K Views
Wadau wa JF Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Balozi Gaston Kennedy kwa niaba ya Rais wa Tanzania & Amiri Jeshi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa inayotembea mitandaoni kwa sasa, hasa baada ya kikosi kazi cha serikali kinachoongozwa na Profesa Mukandala kusoma mapendekezo ambayo hayafahamiki yalikookotwa. Mukandala huku...
14 Reactions
62 Replies
47K Views
RTO Mtwara watanzania wanasubiri majibu ya swali hili.
3 Reactions
23 Replies
3K Views
20 July 2022 Arusha, Tanzania ‘Democracy Should Go Beyond Elections’ Former President of Sierra Leone Ernest Bai Koroma said here today that democracy in Africa should go beyond regular...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna wakati Msigwa na Kasesela walitaka kudundana ngumi pale Nduli airport kila mmoja akitambia Cheo chake. Leo tunapishana tu hapa Miyomboni tukihemea vibaba Hakika kuna maisha baada ya vyeo!
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau Nawasalimu. Naomba kufahamishwa yafuatao kwa mwenye Uelewa Mpana juu ya BUNGE 1.Ni Chombo Gani KISHERIA kinachopanga Mishahara Posho na Mafao ya WABUNGE? 2.Kwanini Mishahara Posho na...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye...
15 Reactions
49 Replies
6K Views
Waziri wa Nishati anazunguka nchi nzima eti kutoa elimu ya madhara ya Moto wa kuni na pia manufaa ya matumizi ya gesi! Nani kamwambia Makamba kwamba wananchi hatujui madhara yasababishwayo na...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni. Katika ziara yake...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ya awamu ya sita imeboresha mazingira ya uwekezaji na haya ni baadhi ya maeneo ambayo yameboleshwa; Uchumi Imara Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 4.9, hii inatokana na mageuzi...
2 Reactions
7 Replies
778 Views
✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na...
9 Reactions
109 Replies
7K Views
Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele. Hakuna utafiti wowote umefanyika kuonyesha mafanikio ya mfumo huu ndio maana 2020...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chadema, Nje ya Jiji la Dar es Salaam, Huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu, Amesema kwamba Upendeleo wa Ajira...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali. Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Akiwa katika ziara ya wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Waziri Mkuu ameshangaa kuona kila mradi inategemea Fedha za Uviko. Majaliwa ameuliza kwanini miradi ya Stendi ya daladala Mwenge na...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari JF, Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti. Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali. Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…