Serikali ya Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa wanafunzi wa masomo ya Sayansi na Teknolojia hasa katika zama za wakati tulio nao, Rais Samia Suluhu kupita bajeti ya Serikali ya Wizara ya...
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi mh Lavrov atakutana na wawakilishi wa viongozi wa nchi ambazo hajazitembelea nchini Ethiopia
Jana Lavrov alikuwa nchini Uganda kwa mazungumzo na Rais Museven...
Kabla ya hayati Magufuli marais waliotangulia walikuwa watu wa Arts ( Sanaa)
Ikumbukwe kuwa Ulimwengu una pande mbili Sanaa na Sayansi
Natamani 2030 tumpate Mwanasayansi mwingine yaani wawe...
Chama chochote cha wafanyakazi kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu, ni mhimili ulio kati kuangalia maslahi ya Mwajiriwa na Mwajiri. Lakini kwa kuwa vyama vya wafanyakazi hapa nchini mwetu Historia...
Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya...
Tanzania ya sasa inaitwa ya viwanda. Somo la physics limeachwa na serikali hailiangalii kwa jicho kali.
Wakati nasoma mimi somo hili halikuwa na walimu wa kutosha. Advance mwalimu mmoja...
Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa...
Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari
Kanisa Katoliki Jimbo la...
Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?"
Sasa kabla Baba Askofu...
UVCCM_ TAIFA
JULAI 27, 2022
SUMBAWANGA
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. ABDULRAHMAN KINANA akizungumza na Viongozi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Katika Mkutano wa ndani...
Hatuwezi kuwaita waliotumika chini ya mkoloni mashujaa bila kuwaita wakoloni wenyewe mashujaa.
Mnatuchanganya?
Yapo mambo mengi mmeyaficha katika historia, hamuwaambii wananchi kuwa wapo ndugu...
Rushwa, iwe ya kiwango kidogo au kikubwa, inakatiza na kuzuia utawala wa sheria kutekelezwa ipasavyo. Ni kikwazo kikubwa katika utawala bora kwani huathiri sekta ya umma na binafsi na kusababisha...
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia...
Wanajamvii mambo vipi?
Jamani kwenye pitapita zangu nimekutana na matangazo ya TRA kwenye gazeti la Daily News kuna Makontena zaidi ya 20 mali ya Mr Paul Makonda kupigwa mnada nikajiuliza ni...
Poleni Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa kupoteza watoto wetu katika ajali iliyotokea leo ya basi( Hiace) la shule ya King David katika mteremko wa mji mwema Manispaa ya Mtwara...
Miongoni mwa MATUMIZI Mabaya ya SERIKALI hii ni pamoja na Kuwalipa MISHAHARA na POSHO waliokuwa Wanachama wa Chadema 19 ambao Walipewa UBUNGE pamoja na KUFUKUZWA Uanachama na Chama chao bado BUNGE...
Balozi Caroline Kitana Chipeta ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi
Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje
Mh Balozi ameyasema hayo ndani ya Kanisa, huko Muryaza Wilayani Butiama, alipokuwa kwenye misa ya shukrani kwa Mungu kwa kulitumikia Jeshi la polisi na hatimaye kuwa balozi wa Tanzania Nchini...
Watanzania!
Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo!
Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe!
Wakati kelele za mchakato...