Kwa Heshima ya Mashujaa,Tarehe 25 July ifanywe kuwa Public Holiday badala ya Sabasaba na Nanenane

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,139
Habari ndugu wanajukwaa..

Kiukweli inashangaza kwamba Leo tarehe 25 July ni Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Nchi hii lakini hakuna hata mtu anaefahamu zaidi ya kuwaona Viongozi wa Serikali Wakijikosha kwenye majukwaa..

Kiukweli kwa Heshima ya Watu waliomwaga damu,jasho zao na nguvu Lai inafaa kabisa Serikali iitambue Siku ya Mashujaa kama Public Holiday Ili kuenzi mchango wao Kwa Taifa..

Ni jambo la kushangaza eti siku ya maonyesho ya biashara na wakulima yaani sabasaba na Nanenane zinatambulika kama public Holiday na sio Siku ya Mashujaa..

Wahusika wafanyie Kazi.
 
Attachments

  • Screenshot_20220725-204211.png
    Screenshot_20220725-204211.png
    247.2 KB · Views: 7
Watoto wa enzi za digitali wala hamjui mchango wa wakulima ktk kuijenga Tanzania mnayoiona leo. Mnataka holiday za kutambua mchango wao ziondolewe bila kujua kuwa kwa miaka mingi uchumi wetu ulitegemea kilimo; kilimo uti wa mgongo wa uchumi wa taifa!
Au hamjui kwamba hiyo asali mnayolamba sasa hivi ni sisi wakulima ndiyo tumefanya ikawepo?
 
Sijasema ziondolewe lakini sabasaba ya nini hasa?
 
Habari ndugu wanajukwaa..

Kiukweli inashangaza kwamba Leo tarehe 25 July ni Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Nchi hii lakini hakuna hata mtu anaefahamu zaidi ya kuwaona Viongozi wa Serikali Wakijikosha kwenye majukwaa..

Kiukweli kwa Heshima ya Watu waliomwaga damu,jasho zao na nguvu Lai inafaa kabisa Serikali iitambue Siku ya Mashujaa kama Public Holiday Ili kuenzi mchango wao Kwa Taifa..

Ni jambo la kushangaza eti siku ya maonyesho ya biashara na wakulima yaani sabasaba na Nanenane zinatambulika kama public Holiday na sio Siku ya Mashujaa..

Wahusika wafanyie Kazi.
Mwaka una siku kuu zaidi ya 25, tuna siku 102 za jumamosi na jumapili, una likizo ya siku 28, hujawahi kufika kazini kabla ya saa 2, ukishikwa na mafua tu unampigia simu boss hutafika unaumwa, ukienda kunywa chai kurudi ni saa nzima. Nk nk. Ukishusha hesabu siku ufanyazo kazi ni chache sana.
 
Habari ndugu wanajukwaa..

Kiukweli inashangaza kwamba Leo tarehe 25 July ni Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Nchi hii lakini hakuna hata mtu anaefahamu zaidi ya kuwaona Viongozi wa Serikali Wakijikosha kwenye majukwaa..

Kiukweli kwa Heshima ya Watu waliomwaga damu,jasho zao na nguvu Lai inafaa kabisa Serikali iitambue Siku ya Mashujaa kama Public Holiday Ili kuenzi mchango wao Kwa Taifa..

Ni jambo la kushangaza eti siku ya maonyesho ya biashara na wakulima yaani sabasaba na Nanenane zinatambulika kama public Holiday na sio Siku ya Mashujaa..

Wahusika wafanyie Kazi.
Mkuu umetoa hoja murua kabisa. Nashauri zaidi pia ni vyema sikukuu za Nyerere Day na Karume Day zote mbili zikafutwa na maadhimisho yake yaweze kujumuishwa katika siku hii moja kuu ya Mashujaa Day.

Mashujaa wote walijitoa kuhangakia maendeleo ya taifa letu kijamii, kiuchumi, kisiasa, katika ukombozi dhidi ya ukoloni hatimaye kuupata, kuulinda na kuudumisha Uhuru wa Tanzania wote waheshimiwe kwa pamoja. Orodha yao ni ndefu na bado inazidi kuongezeka, ila ili kuwatendea haki ni vyema adhimisho la sikukuu yao lifanyike siku hii.
 
Ingekuwa vizuri Sana Sasa wao weziweka as if tunasherekea birthday zao badala ya kutambuliwa kama Mashujaa..

Tungejenga mnara wa Makumbusho na kituo Cha Historia kuwatambua watu wote waliokuwa na Mchango kwenye kuifanya Tanzania ya Leo.
 
Bwashee unataka TANU isahaulike kabisa tusikumbuke hata tarehe ya kuzaliwa kwake?
Hiyo wakifanya Wana ccm itatosha ila haina hadhi ya kuwa public Holiday..

Pili Siku ya Mashujaa iadhimishwe kwa ndaani ya wiki moja kukumbushia na kuonyesha matukio kadhaa kwenye ofisi za umma ,viwanja vya umma,makongamano,maonyesho ya silaha na kufungwa kwa gwaride nk.
 
CCM ni genge la matapeli
 
Mkuu umetoa hoja murua kabisa. Nashauri zaidi pia ni vyema sikukuu za Nyerere Day na Karume Day zote mbili zikafutwa na maadhimisho yake yaweze kujumuishwa katika siku hii moja kuu ya Mashujaa Day.

Mashujaa wote walijitoa kuhangakia maendeleo ya taifa letu kijamii, kiuchumi, kisiasa, katika ukombozi dhidi ya ukoloni hatimaye kuupata, kuulinda na kuudumisha Uhuru wa Tanzania wote waheshimiwe kwa pamoja. Orodha yao ni ndefu na bado inazidi kuongezeka, ila ili kuwatendea haki ni vyema adhimisho la sikukuu yao lifanyike siku hii.
Rubbish
 
Back
Top Bottom