LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,110
1. Mwanasheria mkuu wa serikali anasema anatambua watu 85 tu katika kumbukumbu ya Tanroad waliopewa notisi ya kubomoa majengo ndani ya hifadhi ya barabara.
2. Mwanasheria mkuu anadai Zoezi la ubomoaji lilifanywa na wananchi kwa hiari yao wenyewe na Tanroads haikuhusika na ubomoaji huo.
MASWALI
1. Meneja wa Tanroad bw Ndyamukama alipata wapi nguvu ya kutoa amri ya kuvunja nyumba zote ambazo wakati wanajua hawakutoa notisi kwa watu wote?
2. Yale matingatinga ya Tanroads ushahidi wa video na picha upo, yalikuwa yanavunja nyumba za wakazi gani?
3. Kwanini Tanroads haikuzingatia zuio la kuvunja nyumba lilotolewa na Mahakama ya ardhi?
Kwa vyovyote vile kuna vigogo walihusika na issue ambao bado wanashika wadhifa serikalini na Tanroads wachukuliwe hatua kali wakati kesi inaendelea ili kuondoa tabia ya kufanya kazi kama maroboti wakati wameenda shule.