Baada ya kumuona Serukamba kwenye uteuzi nimewakumbuka wengi sana. Jiwe alikuwa mtu hatari sana!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,525
50,260
Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu mwenyekiti)

Uchaguzi wa 2020 majina yao yalikatwa na jiwe pale Lumumba japokuwa waliongoza ktk kura za maoni za chama. Sababu kubwa ni kwenda kinyume na hisia za jiwe wakati wakiziongoza kamati zao.

Mifano
1. Hawa Ghasia alipinga zoezi zima la serikali kuingilia ununuzi wa korosho kule Mtwara

2. Serukamba alipinga kuandikwa kwa somo la historia kwa kiswahili, ili jiwe aandikwe na kusomwa na watoto wetu.

Ghasia na Serukamba hoja yao zilikuwa na maana na ndiyo maana waliyoyapinga yamebatilishwa na rais Samia
 
Iko siku jiwe mwingine atarudi, kama baadhi ya waliokuwa watu wake wameanza kurudishwa bora kujiandaa kujua ipo siku atarudi jiwe mwingine, Makonda mwingine, na Sabaya mwingine.

Naamini kiwanda chao [CCM] kinaendelea kuwazalisha wengi tu, hakuna maana kupoteza muda mwingi kushangilia "kupotea" kwa jiwe.
 
Umejaa upumbavu mwingi sana!

Mbona Chalamila alitemwa na Samia ukakata viuno kwamba sukuma gang imekomeshwa, na sasa karudishwa tena vipi sukuma gang inarudi?

Yani mpaka hapo huna akili kwamba ccm vyeo wanazungushana wao kwa wao tena kwa zamu?

Usingekuwa umejaza mavi kichwani kwako ungehoji kilichomtoa Chalamila Mwanza ni kitu gani sasa kimemrudisha kitu gan?
 
He.. Sasa ukitaka waendelee kuwa walewale? Walipoondolewa si waliwekwa wengine kwenye hizo nafasi? Au wewe unaona hao tu ndio wanastahili kula keki ya nchi?

Mi nasikitika kwamba vijana Sasa tunabaki kitaa. Ni zamu ya wazee na wale wa awamu ya nne!
 
Mbona Chalamila alitemwa na Samia ukakata viuno kwamba sukuma gang imekomeshwa, na sasa karudishwa tena vipi sukuma gang inarudi?
Tangu lini Chalamilq akawa Sukuma gang? Hana uhusiano kabisa na sukuma gang. Huyo ni mnyalukolo. Unaumwa nn wewe!!!
 
Umejaa upumbavu mwingi sana!

Mbona Chalamila alitemwa na Samia ukakata viuno kwamba sukuma gang imekomeshwa, na sasa karudishwa tena vipi sukuma gang inarudi?

Yani mpaka hapo huna akili kwamba ccm vyeo wanazungushana wao kwa wao tena kwa zamu?

Usingekuwa umejaza mavi kichwani kwako ungehoji kilichomtoa Chalamila Mwanza ni kitu gani sasa kimemrudisha kitu gan?

Unajua kuyajibu haya mapopoma.
 
Iko siku jiwe mwingine atarudi, kama baadhi ya waliokuwa watu wake wameanza kurudishwa bora kujiandaa kujua ipo siku atarudi jiwe mwingine, Makonda mwingine, na Sabaya mwingine.

Naamini kiwanda chao [CCM] kinaendelea kuwazalisha wengi tu, hakuna maana kupoteza muda mwingi kushangilia "kupotea" kwa jiwe.
Naye inshaalah Mungu atampenda zaidi
 
Nilichogundua hata wanaojiita wapinzani sijui wanaharakati hawajui wanapigania kitu gani, leo akitumbuliwa mtu wanashangilia mara ooh sukuma gang mara sijui nn akiteuliwa tena wanaanza bla bla tena.
Inshort hatuna wapinzani na wanaharakati ila tuna washangiliaji na wajadili matukio ya watawala.
 
Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu mwenyekiti)

Uchaguzi wa 2020 majina yao yalikatwa na jiwe pale Lumumba japokuwa waliongoza ktk kura za maoni za chama. Sababu kubwa ni kwenda kinyume na hisia za jiwe wakati wakiziongoza kamati zao.

Mifano
1. Hawa Ghasia alipinga zoezi zima la serikali kuingilia ununuzi wa korosho kule Mtwara

2. Serukamba alipinga kuandikwa kwa somo la historia kwa kiswahili, ili jiwe aandikwe na kusomwa na watoto wetu.

Ghasia na Serukamba hoja yao zilikuwa na maana na ndiyo maana waliyoyapinga yamebatilishwa na rais Samia
Hawa ghasia alishindwa na mbunge wa cuf ndugu. Hakukatwa na mwendazake ila Jpo naye alikuwa haziiv na jpm
 
Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu mwenyekiti)

Uchaguzi wa 2020 majina yao yalikatwa na jiwe pale Lumumba japokuwa waliongoza ktk kura za maoni za chama. Sababu kubwa ni kwenda kinyume na hisia za jiwe wakati wakiziongoza kamati zao.

Mifano
1. Hawa Ghasia alipinga zoezi zima la serikali kuingilia ununuzi wa korosho kule Mtwara

2. Serukamba alipinga kuandikwa kwa somo la historia kwa kiswahili, ili jiwe aandikwe na kusomwa na watoto wetu.

Ghasia na Serukamba hoja yao zilikuwa na maana na ndiyo maana waliyoyapinga yamebatilishwa na rais Samia
Adadi Rajabu aliongoza tume ya Kibunge kuchunguza a failed accession attempt ya Kishamba kabisa dhidi ya Lissu
Jiwe akanuna
 
Walisema Chalamila ni sukumagang ndio maana aliliwa kichwa. Baada ya uteuzi wake leo wanakuja na vijisababu.

Niwakumbushe tu CCM ni ileile huwezi kamwe kuihujumu kwa kuwaletea misamiati kama ya sukumagang ili wasiwe kitu kimoja.

2025 watakuwa wamoja na upinzani watatapatapa. CCM ni kiwanda cha propaganda na umafia wa kutafuta dola. Hoja ya sukumagang ni nyepesi sana, wapinzani wanapoteza muda.
 
Iko siku jiwe mwingine atarudi, kama baadhi ya waliokuwa watu wake wameanza kurudishwa bora kujiandaa kujua ipo siku atarudi jiwe mwingine, Makonda mwingine, na Sabaya mwingine.

Naamini kiwanda chao [CCM] kinaendelea kuwazalisha wengi tu, hakuna maana kupoteza muda mwingi kushangilia "kupotea" kwa jiwe.
Sabaya???.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom