Kishindo cha Kongamano la Katiba Mpya chatikisa Njombe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,425
Reaction score
289,640
Tuliweka Taarifa hapa kwamba sasa CHADEMA imeamua rasmi kuvurumisha elimu ya Uraia nchi nzima , kwa kufundisha Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , nadhani moto uliowashwa mmeuona .

Jana ilikuwa Serengeti na Leo sasa ni Njombe , kinachoendelea Njombe na Umati uliojitokeza , kwa ufupi unaweza kusema kwamba ukiacha misa za makanisa zilizofanyika asubuhi , Kiukweli shughuli pekee iliyopo eneo hilo ni kongamano la Katiba Mpya tu , shughuli zote zimesimama kabisa !

Ni vigumu sana kuamini kwamba kwenye kilichoitwa uchaguzi wa 2020 kipo chama kilichoshinda kwa 100% , SHIKAMOO NJOMBE .

A WINNER IS A DREAMER WHO NEVER GIVES UP - NELSON MANDELA
 
Heshima mkuu 'Erythrocyte'.

Ifahamike unaipambania Tanzania iliyo bora.
 
Tuliweka Taarifa hapa kwamba sasa CHADEMA imeamua rasmi kuvurumisha elimu ya Uraia nchi nzima , kwa kufundisha Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , nadhani moto uliowashwa mmeuona .

Jana ilikuwa Serengeti na Leo sasa ni Njombe , kinachoendelea Njombe na Umati uliojitokeza , kwa ufupi unaweza kusema kwamba ukiacha misa za makanisa zilizofanyika asubuhi , Kiukweli shughuli pekee iliyopo eneo hilo ni kongamano la Katiba Mpya tu , shughuli zote zimesimama kabisa !

Ni vigumu sana kuamini kwamba kwenye kilichoitwa uchaguzi wa 2020 kipo chama kilichoshinda kwa 100% , SHIKAMOO NJOMBE .

A WINNER IS A DREAMER WHO NEVER GIVES UP - NELSON MANDELA
Chadema ina nguvu ya ajabu, utasikia chadema umekufa, uchaguzi ukiwepo wanakimbia na masanduku ya kura ,2025, Kama uchaguzi ukifanyika kabla ya saa sita mchana biashara imeisha
 
Hakika .
 
Tuliweka Taarifa hapa kwamba sasa CHADEMA imeamua rasmi kuvurumisha elimu ya Uraia nchi nzima , kwa kufundisha Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , nadhani moto uliowashwa mmeuona .

Jana ilikuwa Serengeti na Leo sasa ni Njombe , kinachoendelea Njombe na Umati uliojitokeza , kwa ufupi unaweza kusema kwamba ukiacha misa za makanisa zilizofanyika asubuhi , Kiukweli shughuli pekee iliyopo eneo hilo ni kongamano la Katiba Mpya tu , shughuli zote zimesimama kabisa !

Ni vigumu sana kuamini kwamba kwenye kilichoitwa uchaguzi wa 2020 kipo chama kilichoshinda kwa 100% , SHIKAMOO NJOMBE .

A WINNER IS A DREAMER WHO NEVER GIVES UP - NELSON MANDELA
Hivi Njombe ndiyo ya kuipiga na kishindo kikubwa namna hiyo!!
Hiyo nguvu ingetumika
  • Tabora
  • Dodoma
  • Tanga
  • Morogoro
  • Katavi
Ingekuwa ni matumizi sahihi ya rasilimali, ila Njombe!!!
 
Siku nikiwa Raisi hiko chama nitakivunjavunja ndani ya siku 3.
Haiwezekani mkafanya vijana wakawa wajinga kiasi hiko

Uko sahihi kabisa, kazi ya rais sasa hivi ni kuhakikisha chama chochote chenye mvuto anatumia madaraka yake kukiua. Hayo tuliyashuhudia kwa dhalimu Magu.
 
Hivi Njombe ndiyo ya kuipiga na kishindo kikubwa namna hiyo!!
Hiyo nguvu ingetumika
  • Tabora
  • Dodoma
  • Tanga
  • Morogoro
  • Katavi
Ingekuwa ni matumizi sahihi ya rasilimali, ila Njombe!!!
Njombe Haina Shida Mkuu, Shida ni hao wanao leta hivyo vishindo.

Niliwahi kusema hapa jamvini wanachadema ni waongo wanao sahau uongo wao. Nawatu wasio jua kula na vipofu.

Ebu tafakari " Salum Mwalim" naibu katibu mkuu Zanzibar ,alikuja mambako akiwa na viongozi wengine wa chama chake enzi hizo ,mmja wapo Nasal.

Cha kusikitisha walishindwa hata kusimama kwa Dk 1 kumkumbukaDaud Mwangosi , alie kua mtangazaji wa kituo Cha chanel ten.

Kumbuka marehem Mwangosi alifariki kwenye maandamano ya Chadema huo Nyololo km 50 kutoka Makambako
 
Huko kote tumeteketeza
 
Karibu nchi yote wameuawa waliounga mkono Chadema , sasa kila mahali tukisimama tutafika kweli ?

Nadhani jambo muhimu ni kuwaombea dua wahanga wote na kuhakikisha KATIBA MPYA INAPATIKANA HARAKA
 
Tuliweka Taarifa hapa kwamba sasa CHADEMA imeamua rasmi kuvurumisha elimu ya Uraia nchi nzima , kwa kufundisha Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , nadhani moto uliowashwa mmeuona .

Jana ilikuwa Serengeti na Leo sasa ni Njombe , kinachoendelea Njombe na Umati uliojitokeza , kwa ufupi unaweza kusema kwamba ukiacha misa za makanisa zilizofanyika asubuhi , Kiukweli shughuli pekee iliyopo eneo hilo ni kongamano la Katiba Mpya tu , shughuli zote zimesimama kabisa !

Ni vigumu sana kuamini kwamba kwenye kilichoitwa uchaguzi wa 2020 kipo chama kilichoshinda kwa 100% , SHIKAMOO NJOMBE .

A WINNER IS A DREAMER WHO NEVER GIVES UP - NELSON MANDELA
Mungu ibariki CHADEMA [emoji1545]
 
Rose Mayemba alikuwepo?
 
Back
Top Bottom