Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

01 Agosti 2022 Rais kupunguziwa madaraka siyo inamfanya kuwa dhaifu bali inampa uimara. Uwiano mihimili ya dola: bunge, mahakama na serikali kuu / legislative, executive and judicial . Teuzi...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi. Swali: je...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Wiki iliyopita Jumanne Julai 26, 2022 kulifanyika uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Mijelejele Wilayani Masasi ambako Juma Polle ni Diwani wa Kata hiyo ya Mijelejele. Juma Polle...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ. 2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?) 3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje...
7 Reactions
44 Replies
12K Views
Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta...
3 Reactions
7 Replies
829 Views
28 July 2022 Ukerewe, Mwanza MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao...
14 Reactions
71 Replies
4K Views
Rais Samia amesema Katiba ya JMT imempa mamlaka Rais wa JMT kuigawa nchi katika maeneo ya kiutawala na kuteuwa Wawakilishi watakaomsaidia kazi katika maeneo hayo. Kimsingi Rais hana rafiki hivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapisha viongozi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Mikoa katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Agosti Mosi, 2022. Ratiba inatarajiwa kuanza saa 10:30 Jioni. ====...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za jioni wana JF wenzangu. Mtakumbuka kwamba kulikuwa na mada moto moto katika Bunge lililopita, ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza: JE, KATIBA yetu inaruhusu WANAJESHI kuwa WANACHAMA wa Vyama vya SIASA?
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Tarehe 12 mwezi Aprili mwaka 2012 ukiwa usiku wa manene mithili ya mwizi anayevamia nyumba fulani ili kutimiza hadhima yake, hakika ilikuwa ni siku mbaya iliyoleta machungu makubwa sana kwa...
15 Reactions
46 Replies
5K Views
Haya ni baadhi ya mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan; Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi sana likiwemo lile la elimu bure kutoka primary mpaka advance pia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mh. Waziri TAMISEMI inakero zaidi ya asilimia 70. Kwa kifupi sana na kwa maneno machache sana, Idara/vitengo huku chini kuna matatizo ya uonevu, unyanyasaji, kudharauliana, kuminyana, kuzibana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Kila mtu ni mhanga wa ughali wa gharama za matibabu,tumeshuhudia jamii zikipata mgonjwa wa mda mrefu zinavyofirisika kwa kuuza kila mali yao Ili kugharamia matibabu ya...
14 Reactions
68 Replies
4K Views
Ufafanuzi wa kina uliotolewa na Waziri Mkuu kuhusu nyongeza ya Mishahara ya asilimia 23.3 na mambo yaliyofanywa mpaka sasa na Rais Samia kwa watumishi wa umma; 1. Nyongeza ya mshahara kwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Comrade Kinana amepasua jipu. Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama. Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines...
31 Reactions
96 Replies
5K Views
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Lengo la serikali ni kuwainua Wakulima na siyo kuwatia umasikini. Hivyo serikali haitafunga mipaka na kuwazuia Wakulima kuuza mazao nje ya nchi bali...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa namna ya hili sakata la Hawa wanaojiita wabunge wa viti maalum, kupitia chama kilichowavua uanachama wao cha Chadema na namna Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, anavyojaribu kuendelea...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Wakili Peter Kibatala amesema atawahitaji aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Charles Mahera ili wahojiwe kuhusu wabunge 19 walioapishwa kwa...
19 Reactions
91 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…