Hawa Machawa wa kwenye Siasa wanatoka wapi?

Hawa Machawa wa kwenye Siasa wanatoka wapi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Samahani lakini nyie bavicha

Lengo la bandiko Hili ni kuwataka Vijana wote wawe wazalendo na wasimamie kweli badala ya kutumika kama vuvuzela za Wanasiasa uchwara

Mungu wa mbinguni awapeni Ujasiri
 
Samahani lakini nyie bavicha

Lengo la bandiko Hili ni kuwataka Vijana wote wawe wazalendo na wasimamie kweli badala ya kutumika kama vuvuzela za Wanasiasa uchwara

Mungu wa mbinguni awapeni Ujasiri
Elekeza hili kwa kunguni na viroboto wa CCM! wanatuchosha!
 
Kama wewe ulivokuaga chawa wa jiwe ndio nao iko hivo hivo nachoona mkutane tu uwape uzoefu
 
Back
Top Bottom