Leo nimelikumbuka bunge la spika Sitta la mwaka 2005-2010.
Lilikuwa ni bunge la aina yake. Matukio mengi sana yalitokea katika bunge lile mpaka likagharimu nafasi ya hayati Sita kama Spika wa...
Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa...
Wafanyabishara wa samaki waliondolewa katika soko la Manyema kwenda Pasua Manispaa ya Moshi wamemlilia katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo wakitaka warejeshwe soko lao la...
Poleni watumishi wa umma kwa vifijo na ndelemo za kusifu na kuabudu mlizompa samia kwa kusema anaupiga mwingi hii naikumbuka mei mosi mwaka huu ambapo kila kukicha mlikuwa mkisema anaupiga mwingi...
Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini.
Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu...
Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha sera ya mambo ya nje ya...
Hakuna hata project moja watakayoimaliza achilia mbali hata walizozikuta ambazo zilikwisha anza.
Ukiondoa blah blah hakuna kitu ambacho kitafanyika, mpaka sasa hivi kila kitu ni failure...
Hivi huu wizi wa kila siku wa kupunguza data kila siku umebarikiwa na Serikali ya CCM? Make kila siku ni kupunguza MB na Serikali Iko kimya. TCRA wapo kimya. Nape Yuko kimya anajibizana tu ovyo...
Nimekuwa nikifutalia ziara za Waziri wa Nishati Ndugu,January Makamba alizozianzisha hivi karibuni zimekuwa zikijikita katika kujijenga kisiasa kuliko kuitumikia Wizara ya nishati, Ziara hizo...
Bado naweka argument yangu kuwa vyanzo vyote vya mapato ambavyo serikali ni mlipaji mkuu havina tija ingawa kwenye takwimu kuna sekta zitajisifu...
1.Tozo kwenye Miamala, uwekaji na utoaji fedha...
Serikali ya Tanzania na Zambia zimekubaliana kuiimarisha Reli ya TAZARA kea kujenga Reli mpya ya Kiwango cha SGR
Hayo yamesemwa na Rais Samia baada ya kukutana na Rais wa Zambia Ikulu jijini Dar...
Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
Kazi ipo.
Sisi tulioishi enzi za Chama kushika hatamu hatuwezi kuwalaumu Chadema wala ACT wazalendo kwa kukaa kwao kimya wakati both vinapanda Bei kila inapoitwa leo
Niishie hapo
Mungu wa mbinguni...
Vita vya Ukraine na Urusi havina uwezekano wa kuisha hivi karibuni. Sanctions zilizopigwa zina athari kubwa kwa nchi zinazoendelea kuliko zilizoendelea.
Kama tutaenda kwa falsafa ya Marekani ya...
Tathmini ya Halmashauri iliyofanywa vizuri Katika kukusanya Mapato, kutoa mikopo ya kijamii na Kujibu kea wakati hoja za CAG, Halmashauri ya Mbulu imekuwa ya kwanza ikifuatiwa na Simanjiro...
Ni matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali...
Mawaziri wetu wako kazini kila mmoja kwa nafasi yake na kipawa chake alichojaliwa na Mungu
Tuweke orodha ya mawaziri wachapakazi ambao kazi zao zinaonekana kwa matokeo kwa Wananchi kutokana na...
najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022
chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini
najua...
Sisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye...
Serikali ya kizalendo kama hii ya CCM inayoongozwa na Rais Samia muda wote iko kazini " hakuna kulala"
Nimpongeze tu mh Rais Samia kwa kumtumikia usiku na mchana
Pia niwape angalizo Wasaidizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.