Polisi wafuata ushauri wa Kinana bila shuruti

Polisi wafuata ushauri wa Kinana bila shuruti

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,252
Reaction score
98,255
Nimeamini kuwa chama ndiyo kinashika hatamu hapa nchini.

Kufuatia ushauri wa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Kinana kwa Polisi kupunguza idadi ya Askari wa Traffic barabarani.

Leo hii Polisi wamesema kuwa watatekeleza maagizo hayo mara moja.

Hakika CCM imejichimbia sana kwenye taasisi zetu za Serikali.

Ndiyo maana leo hii tunawaona wastaafu wa Jeshi hilo wapo kwenye uongozi wa chama hicho kikongwe.

 
Trafiki ni kero labda ka umiliki gari au usafiri na mabasi ya endapo mikoani, hata kama inawezekana waondolewi kabisa wabaki stendi za ma basi
Cha msingi serikali ukazanie kusimamia vithibiti mwendo kwa mabasi.
 
Hongera Kijana, Leo kwa Mara ya kwanza nimeendesha gari kwa utulivu Sana, hizi jamaa zinaboa Sana, kazi zao wanafanya with no logic
 
Back
Top Bottom