DC Sabaya kuvaa nguo za kipolisi alimaanisha nini? Imekaaje kikanuni?

state agent

state agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Messages
651
Points
1,000
state agent

state agent

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2019
651 1,000
Nimejiuliza sana sijapata majibu maana hii ni mpya kumuona Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kavaa sare za Polisi hasa kuona sare hizi ameziandika UVCCM huku akijua sio rangi za chama cha CCM ni nguo za jeshi la polisi

fb_img_1568243182043-jpeg.1204971
 
mnengene

mnengene

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Messages
1,535
Points
2,000
mnengene

mnengene

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2011
1,535 2,000
Huyo ni mwehu, anajulikana tokea huko st John aliposomea degree yake.

Kama aliweza kujifanya afisa wa usalama wa taifa, aweziahindwa fanya upuudhi kama huu.
Bahati mbaya ndio Aina ya ma dc jamaa alioamua kuwa nao very useless people.

Hawa Ni wanaribifu tu wa raslimali za Taifa. Ila ndio hivyo tena hata chuo alichosoma kinajieleza Ni kama yule rc aliyesomea ushirica
 
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
5,189
Points
2,000
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
5,189 2,000
Kichaa hufurishwa zaidi na watu wamfananae.

Huyu DC na yule wa Hai pengine unakuta hapo awali hawakuwa hivi tuwaonavyo leo, lakini sababu wanataka kwenda na tune ya boss wao basi hata wao wamejitoa ufahamu na kuwa kuvaa ngozi ya boss wao.
 

Forum statistics

Threads 1,335,152
Members 512,245
Posts 32,497,194
Top