Mpigania uhuru: Mkiona wananisifia sana mjue nimeshawauza

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Huu ni ujumbe kutoka kwa mpigania uhuru wa mwafrika ambaye alikuwa na elimu ndogo na umri mdogo kuliko wanaotusaliti leo akina Lisu
20220603_180606.jpg
 
Wakati wa mama tena? Mama anaupiga mwingi wazungu wanamwita "hero"
 
Enzi za makoloni, ubaguzi (apartheid), vita baridi, ukoloni mamboleo na ujamaa/ukomunisti kama fasheni katika siasa za kimataifa.

Kabla ya utandawazi.

Leo hii kuita watu wazungu na mabeberu ilhali wamekuwepo kina Obama, Powell, Austin … ni ushamba.
 
Huu ni ujumbe kutoka kwa mpigania uhuru wa mwafrika ambaye alikuwa na elimu ndogo na umri mdogo kuliko wanaotusaliti leo akina LisuView attachment 2249485
Bwanako Sabaya pale Jela Karanga Moshi ameshaamshwa saa 12 asubuhi kuhesabiwa wewe unapuyanga JF!!! mwambieni asiishie kumwaga machozi kizimbani tu,kama vipi avue Suruali anye MAVI kizimbani kabisa tuelewe moja,Hukumu ya tarehe 10 lazima agongwe miaka 30 Jela Jambazi yule hakuna namna
 
Viongozi wa chadema tayari wamesha wauza wanachama wao.

Sahivi wana lamba asali tu.
 
Maneno na misimamo isiyona maana kwa nyakati tulizonazo ,
Ni sawa na wale wehu wenye kauli mbiu ya zidumu fikra za mwenyekiti wa chama Cha kijani..
Siyo kweli!! Mabepari hawajawahi kupitwa na wakati! Uchu wao wa kunyonya nchi za Afrika uko pale pale sana sana umeongezeka!! Bepari akikusifu ujue umeliwa!! Wanaangalia maslahi zaidi!! Ukuona nchi imesifiwa kwa kuvutia wawekezaji ujue lishakuwa shamba la bibi hilo!! Hapa nchini petu dalili siyo nzuri!!
 
Siyo kweli!! Mabepari hawajawahi kupitwa na wakati! Uchu wao wa kunyonya nchi za Afrika uko pale pale sana sana umeongezeka!! Bepari akikusifu ujue umeliwa!! Wanaangalia maslahi zaidi!! Ukuona nchi imesifiwa kwa kuvutia wawekezaji ujue lishakuwa shamba la bibi hilo!! Hapa nchini petu dalili siyo nzuri!!
Ni kweli kipindi cha Kayafa mliliwaa



Alisifiwa hadi na Trump .😂😂

 
Samora Machel alikuwa mzalendo wa ukweli wa nchi yao!! Ni aina ya JPM fulani hivi!! Alikuwa mwiba kwa mabepari mpaka wakapanga njama za kummaliza!! Watu wa sampuli hii ni adimu sana!!
 
Back
Top Bottom