Serikali ya awamu ya 4 iliyoongozwa na Mzee Kikwete haikuwa na ukabila tofauti na zilizotangulia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,187
142,329
Tanzania hatuna ukabila kama ule wa Kenya lakini tunao ukabila wa kisayansi ambao huanzia kwenye vyama vya siasa na mfano mzuri ni chama Kikuu cha Upinzani.

Kwa mfano nimefanya tathmini ya Awamu none kuanzia ya hayati mwalimu Nyerere hadi ya mzee Kikwete na kugundua ni Kikwete tu ndio hakukumbatia undugu.

Mungu wa mbinguni ambariki JK kwenye usimamizi wa Uchaguzi nchini Kenya
 
Back
Top Bottom