Jana katika pita pita zangu, nikawakuta NEC kwenye maonesho ya nane nane, ikabidi nijisogeze bandani kudadisi kidogo, kufahamu masuala kadhaa;
1. Kwanini wapo katika maonesho ya wakulima?
2. Baada...
Vyama vya Siasa ni sehemu ya serikali japo watu wengi wanaukwepa ukweli huu
Itoshe tu kusema Wananchi ndio wenye wajibu wa kujitengenezea Katiba yao na siyo wanasiasa
Mungu wa mbinguni awabariki
Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu...
Tanzania inayo Katiba halali hivyo haijitajiki Katiba mpya kana kwamba tunaasisi taifa lingine.
Wanachopigania Chadema ni Toleo Jipya la Katiba ya JMT yenye marekebisho makubwa.
Ukielewa maana...
Natoa tu Ushauri kwa Chama Pendwa Afrika Mashariki, Kati na Kusini Chama Cha Mapinduzi
Msikitelekeze Kitambulisho Cha Mjasiriamali kwani zaidi ya 80% ya Wapiga kura ni wajasiriamali
Nina...
Tanzania ina eneo linalofaa kwa kilimo Hekta milioni 44 na linalofaa kwa umwagiliaji Hekta milioni 29, mpaka sasa zaidi ya 60% ya watanzania wameajiriwa katika kilimo. Biashara ya kilimo katika...
Leo ilikuwa kilele Cha siku ya mwananchi, kiukweli ukiangalia namna mabango yalivyokuwa yamepambwa na picha za mh Rais wetu kipenzi mama Samia Suluhu Hassan na namna yalivyokuwa yanaleta shangwe...
Wadau niko mbeya kwa ajili ya maonesho ya nane nane, nimeona mwitikio ni mkubwa sana ,unaweza kupotea ulikotokea ,hii imenipa picha kwamba watanzania wana kiu ya kusikia kero za kilimo...
Kuna Mtu miaka kama Kumi ( 10 ) iliyopita aliniambia kuwa kama Genius wa Politics angetafutwa Tanzania kwa miaka ya Karibuni basi ana uhakika kuwa Mzee Abdulrahman Kinana asingekosekana katika...
Habari watanzania na wana CCM,
Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi...
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya mkuu wa mkoa wa njombe mh Antony Mtaka, imekuwa ikinitia hamasa kuendelea kumsikiliza na kuyafanyia kazi yale yote anayotushauli sisi vijana. Huyu jamaa yupo...
Tundu Lisu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa...
Habari wananchi na viongozi!
Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu.
Mfano: Kazini...
Nimesikiliza video hii ya mtoto wa kigogo Ngowi inasikitisha sana, inaumiza kuona Watanzania wengi maskini lakini kuna watu wana kontena za hela zimejaa mpaka pesa nyingine hawajui wapi...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye...
Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli...