DOKEZO Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini unakiuka Katiba ya CCM na Kanuni kwa maslahi ya nani?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Habari watanzania na wana CCM,

Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi umemalizika ngazi ya Kata.

Katika hali ya kushangaza kuna baadhi ya Wanachama ambao ni wafanyakazi wa Serikali wamezuiliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti kwa Mfano Mwalimu HAMISA wa NGOKOLO SEKONDARI alizuiliwa kugombea nafasi ya mwenyekiti wa UWT kata ya Ngokolo. Lakini kwa kanuni hizo hizo Bw. ABIOLA GEORGE CHIPANA amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa JUMUIA YA WAZAZI kata ya mjini Wilaya ya Shinyanga mjini.

Licha ya malalamiko uliyopokea ofisini kwako kwa maandizi bado hutaki kuchukua hatua kwa mjibu wa Kanuni, Bi. DORIS YOTHAM KIBABI hili unalifanya kwa faida ya nani au kwa sababu Bw. CHIPANA ni ndugu yako unaamua kusigina kanuni na Katiba ya CCM?

IMG_20220803_085847[1].jpg
 
Back
Top Bottom