Antony Mtaka ilikuwaje akawa CCM? au alilogwa

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,590
Reaction score
31,133
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya mkuu wa mkoa wa njombe mh Antony Mtaka, imekuwa ikinitia hamasa kuendelea kumsikiliza na kuyafanyia kazi yale yote anayotushauli sisi vijana. Huyu jamaa yupo makini sana kwenye kuongoza watu japo sisi tuliosoma political science and public administration tunasema mkuu wa mkoa sio kiongozi ni Mtendaji. Kiongozi ni yule tu anayechaguliwa na wananchi. Ila huyu mtu ana kila sifa zakuitwa kiongozi na kuwa mkuu wa mkoa nikuiaibisha taaluma yake ingepaswa awe Mbunge au Diwani.

Mbaya zaidi mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya ccm mkoa. Kwahiyo ukiwa mkuu wa mkoa chini ya utawala wa ccm wewe ni mwanaccm moja kwa moja, kwanza unatekeleza ilani ya ccm pili unaingia kwenye vikao vya ccm vya mkoa. Hapa ndipo nilianza kumtapika maana mimi binafsi nikiona mtu ni ccm basi roho yangu inajaa singinde, yani na kuwa na ghadhabu moyoni mwangu japo ni uhuru wa kikatiba mtu kuchagua Chama cha siasa anachotaka mwenyewe. Antony Mtaka huko ulipo si salama, ondoka chukua kadi ya upinzani gombea jimbo ili akili yako isitawaliwe na watawala malofa
 
Huyo ni tunumwa Taifa kwa sasa
 
CCM Ina watu wengi wenye akili nzuri, ila kuna utamaduni uliojengeka kwamba kutumia akili zako vizuri unawakwaza wakubwa.
Pia vyeo hutolewa kwa wanaojipendekeza (ambayo ni tabia ya wajinga na wanafiki).
Matokeo ya hayo hapo juu ni kuwepo kwa viongozi vilaza na wanafiki ambao pia hupendekeza wanaofanana nao.
Hata hivyo, CCM yapaswa kujirekebisha kuondoka kwenye kuendeleza ujinga na unafiki.
 
Mwambie ahame kama ana hiyo jeuri..

Pili CCM ina Hazina ya viongozi wa kila aina kuanzia Wasomi hadi wafanyabiashara matajiri..

Uje upinzani ambako ukitofautiana na Mwenyekiti unatimuliwa na kuitwa msaliti,hovyo ni vyama au kusanyiko la waganga njaa?
 
CCM Ina watu wengi wenye akili nzuri, ila kuna utamaduni uliojengeka kwamba kutumia akili zako vizuri unawakwaza wakubwa.
Pia vyeo hutolewa kwa wanaojipendekeza (ambayo ni tabia ya wajinga na wanafiki).
Matokeo ya hayo hapo juu ni kuwepo kwa viongozi vilaza na wanafiki ambao pia hupendekeza wanaofanana nao.
Hata hivyo, CCM yapaswa kujirekebisha kuondoka kwenye kuendeleza ujinga na unafiki.
CCM ya awamu ya sina inatumia watu intelligent kuleta mageuzi,na nyie mnaona mambo yanayofanyika vizuri.
 
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya mkuu wa mkoa wa njombe mh Antony Mtaka, imekuwa ikinitia hamasa kuendelea kumsikiliza na kuyafanyia kazi yale yote anayotushauli sisi vijana. Huyu jamaa yupo makini sana kwenye kuongoza watu japo sisi tuliosoma political science and public administration tunasema mkuu wa mkoa sio kiongozi ni Mtendaji. Kiongozi ni yule tu anayechaguliwa na wananchi. Ila huyu mtu ana kila sifa zakuitwa kiongozi na kuwa mkuu wa mkoa nikuiaibisha taaluma yake ingepaswa awe Mbunge au Diwani.

Mbaya zaidi mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya ccm mkoa. Kwahiyo ukiwa mkuu wa mkoa chini ya utawala wa ccm wewe ni mwanaccm moja kwa moja, kwanza unatekeleza ilani ya ccm pili unaingia kwenye vikao vya ccm vya mkoa. Hapa ndipo nilianza kumtapika maana mimi binafsi nikiona mtu ni ccm basi roho yangu inajaa singinde, yani na kuwa na ghadhabu moyoni mwangu japo ni uhuru wa kikatiba mtu kuchagua Chama cha siasa anachotaka mwenyewe. Antony Mtaka huko ulipo si salama, ondoka chukua kadi ya upinzani gombea jimbo ili akili yako isitawaliwe na watawala malofa
Kuna flavour tatu za CCM, na moja kati ya hizo yumo huyo.
 
Back
Top Bottom