Janga kubwa kwa nchi yetu ni CHADEMA

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Tundu Lisu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa juhudi kama ulivyokuwa unawatetea Acacia wakati wakiibia madini watanzania hakika utabarikiwa sana

Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!

Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.

Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?

Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
 
Yaani Lissu ndo awatete vibarua wa serikali (penal colony of government) wasio jitambua,Kuna watu huwa mnatumia matumbo kufikili.

Mbowe kaa kimya hivyo hivyo mpaka nyumbu wa nchi hii watambue kuwa wanapaswa kujipambania wenyewe sio kumtegemea mtu fulani akupambanie.

Chama chakavu ndo kime shika kila sehemu maana Kayafa aliwahi sema chanzo Cha nchi hii kuto endelea niwa wapinzani Sasa mbona wapinzani hawapo mpo nyie tu na bado mnalalamika Kama kima aliye poteza mtoto.
 
Tundu Lisu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa juhudi kama ulivyokuwa unawatetea Acacia wakati wakiibia madini watanzania hakika utabarikiwa sana

Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!

Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.

Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?

Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Wakati viongozi wa wafanyakazi wakimpongeza Samia siku ya Mei mosi na kusema kuwa uchaguzi ujao wafanyakazi watakwenda na Ulimuomba walimshirikisha Tundu Lissu kusema uharo wao huo?
 
Wake wa amsterdam utawajua tu
 
Tundu Lisu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa juhudi kama ulivyokuwa unawatetea Acacia wakati wakiibia madini watanzania hakika utabarikiwa sana

Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!

Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.

Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?

Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Hivi chanjo ya korona ililetwa na Mbowe? Au hujui nani anasimamia uidhinishaji na uletaji wa chanjo?
KIFUPI: Lissu alipigwa risasi nyingi sana, kama 16 hivi, na hadi leo hii hakuna aliyekamatwa kwa kuhusika na kosa hilo.
Hivyo, Lissu anayo sababu ya msingi ya kuhofia maisha yake( Kwasababu, waliompiga risasi hawajulikani hadi Sasa hivi, ila wapigaji risasi wanamjua).
Kwahiyo, usalama wa LISSU ni muhimu zaidi kuliko maslahi yoyote yale.
 
Huyu mtu aliye geuza watu mazuzu alaaniwe, why wewe mtoa hoja usipiganie haki yako kama unaona huipati?,why Mr.Lissu akupiganie wewe?,kunguru mwoga wewe
Mbona aliweza kuwapigania Acacia
 
Mmezoea kukwepa na kutoa lawama Kwa chadema Sasa mko peke yenu lakini Bado mnawataja chadema. Aisee Mungu aturehemu watanzania.

Dogo una shida kubwa sana. Kaa chini jiangalie
Wako wenyewe bungeni, wanaimba, wanapiga sarakasi wenyewe, kila wakiinama wanaiona CDM, wakiinuka wanaiona CDM. Muda wote wanaona CDM...dah! Hayo mapepo wamejitakia wenyewe
 
Tundu Lisu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa juhudi kama ulivyokuwa unawatetea Acacia wakati wakiibia madini watanzania hakika utabarikiwa sana

Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!

Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.

Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?

Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Nilitegemea uendelee kupaza sauti ya FREE SABAYA lakini umeacha unaanza kuandika ujinga wakati bwanako Sabaya ana Bonge la Bandeji Kisogoni na bado anashikishwa ukuta pale Magereza Karanga,Moshi
 
MBWA wa CCM wamechanganyikiwa
 
Attachments

  • 20211212_201556.jpg
    20211212_201556.jpg
    65.7 KB · Views: 7
  • 20211219_045926.jpg
    20211219_045926.jpg
    29.7 KB · Views: 7
  • 20211227_085701.jpg
    20211227_085701.jpg
    67.2 KB · Views: 7

Similar Discussions

Back
Top Bottom