Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,046
Nimesikiliza video hii ya mtoto wa kigogo Ngowi inasikitisha sana, inaumiza kuona Watanzania wengi maskini lakini kuna watu wana kontena za hela zimejaa mpaka pesa nyingine hawajui wapi wanazipeleka.

Hii nchi inaliwa na itaendelea kuliwa tusipoamua kuchukua hatua kwa sasa.

Kuna watu wanakula kodi za Watanzania na hawaogopi na hakuna wa kuwachukulia hatua za kisheria.

Basi kama Tanzania tumeridhika na hawa watu?
 
Kwa hiyo huyu ndio 'Snowden' wa Tanzania?!

Au jamaa kichwa chake 'kimewaka moto.'

Kuna mtoto wa kike wa naibu waziri wa zamani wa ardhi amejenga majumba makubwa eti kwa kufanya biashara ya kuuza chupi na sindilia na anatangaza kuyapangisha kwenye Instagram page yake!!!

Hiyo sheria ya whitleblowing si imetungwa na hao hao Chama Cha Majambazi, na Mwenyeketi wa Chama hicho anaweza kumwachia mfungwa wa kosa lolote lile.

Mahakama yenyewe ni ya wanachama wa chama hicho.
 
Ingawa kwenye clip inaonyesha dogo kwa maongezi yake yupo under the influence (either ya pombe au coke) ila amespit real sh*t! Hii pia itakua ni good defence mechanism baadae kwa upande wake akibanwa sana maana atasema alizungumza akiwa amelewa na hajitambui. Too smart!
 
Back
Top Bottom