Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari, Nitatoa mifano angalau 3 kuthibitisha hoja katika title ya uzi wangu. Mfano # 1 Diwani analipwa pesa ndogo, ilikuwa chini ya laki 4 labda kama mabadiliko yamefanyika majuzi. Huyo diwani...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina. Zamani tulizoea kuona jammer car...
9 Reactions
61 Replies
9K Views
Unguja, Serikali ya Zanzibar imekabidhiwa rasmi takwimu (data) za utafutaji wa mafuta na gesi kutoka Serikali ya Tanzania. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo Jumatano Agosti 10, 2022 Ikulu...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais Samia anaendelea kupita katika kila Mkoa kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na kutatua kero za wananchi. Licha ya kufanya ziara katika nchi mbalimbali zilizoleta tija kubwa, Rais...
1 Reactions
13 Replies
991 Views
Na Kevin Lameck Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)uwanja wa John Mwakangale Mkoani Mbeya leo tarehe 08 Agosti, 2022...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mh. Konga amesema taasisi yake imebaini madaktari wanawaandikia wagonjwa dawa zisizo sahihi na huu ni uhujumu uchumi. Konga amesema mtu anapokunywa...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Hakimu anayesikiliza Kesi ya Ole Sabaya na wenzake mh Kashasha ameitaka upande maashtaka kuharakisha upelelezi wa Kesi hiyo Hakimu Kashasha alikuwa anajibu ombi la Mawakili wa Ole Sabaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo STAMICO wametoa gawio la 2.2 B kwa serikali. Juzi Mama yenu alikuwa anaponda Mashirika kuwa yalikuwa yanakopa ili kutoa gawio kwa Serikali. Sasa naona na yeye anaenda mulemule. Kukaa na...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Hii ndio taarifa tunayokumegea kwa sasa popote ulipo. Kaa ukijua kwamba huko Shinyanga kimeumana, ni mtiti mkubwa . Kaa tayari kumsikai mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar akitoa dira ya taifa.
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Huo ndio ukweli kama hutaki acha sikulazimishi Mzee Kikwete ndiye Mwamba wa Siasa za Tanzania baada ya hayati mwalimu Nyerere Wote tunajua JK ilikuwa awe Rais mwaka ule 1995 lakini CCM kupitia...
16 Reactions
55 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa na kusalimia wananchi leo tarehe 12 Agosti, 2022...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Haya kumekucha! Wale ndugu zangu wapogoro wanaoshinda na kuweka kambi kwenye misitu wakichanja mbao! TUKAHESABIWE wale Dada zetu wa biashara poa kwenye madanguro kuanzia Sinza,Uwanja wa fisi...
1 Reactions
2 Replies
855 Views
Watanzania wengi tuna tamaduni ya kukimbilia na kukusanyika eneo ambalo Rais wetu atasimama na kuongea na wananchi lakini hali hii imekuwa tofauti kwa huyu mama, huyu mama watu hawamtaki asilimia...
22 Reactions
233 Replies
21K Views
Akiwa katika mji wa Makambako Rais Samia amewapongeza viongozi wa Halmashauri kwa kuvuka malengo ya Ukusanyaji wa mapato na amewataka wabuni Vyanzo vipya vya Mapato. Rais Samia amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Mamlaka ya Maji katika jiji la Arusha litatumia Sh. Bilioni 12 kutekeleza mradi wa maji ambao utafanya jiji hilo la kitalii kupata maji wa 100% Kwa sasa usambazaji...
1 Reactions
9 Replies
766 Views
Kiukweli kama tungekuwa na upinzani wa kweli tusingesikia mambo ya Wagombea kupita bila kupingwa Tusingesikia Zitto na Serukamba wanabadilishana majimbo Na wala tusingeshuhudia kiburi cha akina...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi. Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Na Kevin Lameck Siku ya Kimataifa ya Vijana inaadhimishwa leo na kila mwaka tarehe 12 Agosti, ikileta maswala ya vijana kwa jamii ya kimataifa na kusherehekea uwezo wa vijana kama washirika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…