Tache maneno: DED wa Itigi ni msomi

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,602
3,655
Luhende Pius Gerald Shija Mkurugenzi Mpya wa Itigi.

* Pius alimaliza O' level Kilosa Sekondari (1990 - Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.

* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko Shinyanga. 2005-2007 alikuwa akisoma Diploma in Education Management and Administration (ADEM-Bagamoyo).

* Mwaka 2008 akaenda Arusha University, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora - Kigoma.

* Mwaka 2013 alianza Masters of Education in Educational Planning and Administration- Jordan University.

Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.

**************************
 
LUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI.

* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.

* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).

* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.

* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.

Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.

**************************
Msomi mzuri sana, je ana machapisho?
 
Mkuu usihangaike kuwajulisha. Nilichokiona mimi ni majina kufanana na ndio chanzo cha watu kulalamika
 
Hivi,mtu anaweza kuwa Mkurugenzi bila kupitia ukuu wa Idara za Halmashauri?
Ukisikia Halmashauri wengine wanaona ni kataasisi kadogo sana, na mtu yeyote anaweza kujifunza jinsi ya kuongoza. Tukijikwaa tusiulizane nani mchawi wa maendeleo yetu. Ukiangalia CV ya huyo msomi unajiuliza, je inajitosheleza kiuzoefu?
Nadhani awali walishaweka vigezo vya kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri na walikuwa na sababu zinazojitosheleza. Hilo walilifanya baada ya misuguano mingi na mamlaka za uteuzi zikafikia muafaka wa kuainisha vigezo.
Lakini leo tunaleta siasa kwenye taaluma na taratibu za ukweaji wa madaraka. Tusiseme sana, ngoja tusubiri sie yetu macho na masikio.
 
Hata iweje MAGUFULI kakosea uteuzi huu kwa sana tu. Kuna watu wamesoma Political Admin au Law au Economics na wako Halmashauri au Mikoani kama Waratibu wa Wilaya au Mikoa, ila ka waacha kachukua makada wa@CCM tu!!

Ama kweli amefanya Demotivation to employees' work morale.

Kuna hadi walimu wa Nganza Sec kawachukua, KISA MSUKUMA. Kajaza tu kabila lake.
 
1468067297737.jpg
 
LUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI.

* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.

* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).

* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.

* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.

Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.

**************************

Hata wa MUFINDI Magufuli karamba dume kwa Dr. RIZIKI SILAS SHEMDOE
 
Hata iweje MAGUFULI kakosea uteuzi huu kwa sana tu. Kuna watu wamesoma Political Admin au Law au Economics na wako Halmashauri au Mikoani kama Waratibu wa Wilaya au Mikoa, ila ka waacha kachukua makada wa@CCM tu!!

Ama kweli amefanya Demotivation to employees' work morale.

Kuna hadi walimu wa Nganza Sec kawachukua, KISA MSUKUMA. Kajaza tu kabila lake.
Mkuu sisi wa huko chini ndo wachapakazi. Tukiamua kuwaangusha tunawaangusha tu. ni kupiga Go slow, kama hayo maendeleo anayotarajia atayapata. Na mtu akiwa na elimu kubwa akakuta anaowaongoza wanaelimu ndogo, huwa wanapenda kujipambanua ili kuficha inferiority complex zao. Kubwatu si kubwatuka. HAhahahahaha Mzee baba nanii aliyekushauri hili kakupoteza sana. Ndoto zako ulizotuaminisha mwanzoni hutozifikia. Au ilikuwa vunga tu ili tuone wewe ni wetu kumbe ndo wale wale tu?
 
Back
Top Bottom