Tanzania inaweza kuwa na ushawishi wowote kwenye uchaguzi wa Kenya?

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,265
21,400
Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province.

Nchi yetu Tz ni Big brother wa Kenya na iko strategically important kwa nchi ya Kenya kiuchumi kijeshi ki eneo (geographically) pamoja na kiutamaduni, kwa 70% uchumi wa Tz ni kichocheo cha uchumi wa Kenya hasa kwenye malighafi na madini.

Je, Tz inaweza kushawishi siasa za Kenya jambo ambalo ni muhimu ili kupata political stability kukuza uchumi na kua na military supremancy over Kenya au tumekubali kua (sleeping giant) kama wa Kenya wanavo tukejeli wakati uwezo wa kumudu siasa na viongozi wa nchi kama Kenya Rwanda uganda Burundi Zambia tunao.

Nyerere alotumia such foreign policy kufanya Tz kua kitovu cha siasa katika Africa mashariki na kati yoyote kua Raisi nchi hizo lazima apitie Arusha au Dar es salam kupata kuungwa mkono na mualimu.

Mfano siasa za kimataifa Britain lazima ijue na kushawishi Raisi atakea kua US, na Russia hivyo hivyo ili kubaki relevant katika foreign policy, Je Tz tumeacha hiyo policy ya mualimu tutabaki relevant? au tutafunikwa na ka nchi kama Uganda ambao kame jipanga kijeshi kila sehemu kapo m7 anekua dictator anae pendwa na US Br Russ, kwasbb ya military influence yake katika eneo zima la Africa mashariki na kati.

Tz tunahitaji kiongozi mwenye ushawishi kama alivyo kua Nyerere, lasivyo tutaanza kuongopa na ka nchi kama Rwanda ambayo sio hata robo kwa nchi yote kwa kila kitu.
 
Mkuu umeongea mengi ila kwangu yote hayo ni ideology,unaongelea Rwanda 🇷🇼, wakati sisi tunapiga demo wenzetu wanajenga nchi yao, Tanzania 🇹🇿 in 70s up to 80s its was a centre of power for Africa, but now we're laughing stock, any top visit kutoka nje lazima watue kwanza Dar es Salaam, na Africa ilikua inasikiliza kwanza tamko kutoka Dar, Leo US,Russia foreign minister's hawaji Dar, wanaona bora waende kwanza Kinshasa au kampala au joberg, Tanzania hatuna ushawishi wowote kuhusu uchaguzi huu wa Kenya and we totally lost respect
 
Mkuu umeongea mengi ila kwangu yote hayo ni ideology,unaongelea Rwanda , wakati sisi tunapiga demo wenzetu wanajenga nchi yao, Tanzania in 70s up to 80s its was a centre of power for Africa, but now we're laughing stock, any top visit kutoka nje lazima watue kwanza Dar es Salaam, na Africa ilikua inasikiliza kwanza tamko kutoka Dar, Leo US,Russia foreign minister's hawaji Dar, wanaona bora waende kwanza Kinshasa au kampala au joberg, Tanzania hatuna ushawishi wowote kuhusu uchaguzi huu wa Kenya and we totally lost respect
Chama tawala lazm kisome notes zao za nyuma foreign policy yetu ya kufanya influence kwa siasa na viongozi wa nchi jilani ni muhimu kwa uhai wetu kama nchi, JPM hakupenda hiyo policy ndo maana umarufu wake ulishia ndani ya nchi tu.
 
Mkuu upo right kabisa,wakati wa kipindi our foreign minister Salim A.salim,John Malechela,Africa ilikua inasimama kwanza kusikiliza Dar es Salaam itatoa tamko gani kwanza,hata Nelson Madiba MANDELA, alikuja kwanza Tanganyika kwenye ziara yake ya kwanza kabisa nje ya SA,na alishangaa kumwona our president Nyerere (rip)akiendesha gari yeye mwenyewe, pale Mbeya chairman wa Chama tawala akimfokea receptionist mzungu!,wapi tulipotea kama nchi?,eti Rwanda nayo ni power house ndani ya SADC it's craze
 
Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province.

Nchi yetu Tz ni Big brother wa Kenya na iko strategically important kwa nchi ya Kenya kiuchumi kijeshi ki eneo (geographically) pamoja na kiutamaduni, kwa 70% uchumi wa Tz ni kichocheo cha uchumi wa Kenya hasa kwenye malighafi na madini.

Je, Tz inaweza kushawishi siasa za Kenya jambo ambalo ni muhimu ili kupata political stability kukuza uchumi na kua na military supremancy over Kenya au tumekubali kua (sleeping giant) kama wa Kenya wanavo tukejeli wakati uwezo wa kumudu siasa na viongozi wa nchi kama Kenya Rwanda uganda Burundi Zambia tunao.

Nyerere alotumia such foreign policy kufanya Tz kua kitovu cha siasa katika Africa mashariki na kati yoyote kua Raisi nchi hizo lazima apitie Arusha au Dar es salam kupata kuungwa mkono na mualimu.

Mfano siasa za kimataifa Britain lazima ijue na kushawishi Raisi atakea kua US, na Russia hivyo hivyo ili kubaki relevant katika foreign policy, Je Tz tumeacha hiyo policy ya mualimu tutabaki relevant? au tutafunikwa na ka nchi kama Uganda ambao kame jipanga kijeshi kila sehemu kapo m7 anekua dictator anae pendwa na US Br Russ, kwasbb ya military influence yake katika eneo zima la Africa mashariki na kati.

Tz tunahitaji kiongozi mwenye ushawishi kama alivyo kua Nyerere, lasivyo tutaanza kuongopa na ka nchi kama Rwanda ambayo sio hata robo kwa nchi yote kwa kila kitu.
Tanzania ni muhimu Africa nzima Si Kenya pekee.
 
Huo umuhumu ndo tunao uliza uko wapi au ulisha ondoka Kenya tu nashindwa kuweka Raisi atakae kubaliana na sera zetu, unakimbilia Africa
 
Kuingilia election ya nchi kama bwege.

Huo umuhumu ndo tunao uliza uko wapi au ulisha ondoka Kenya tu nashindwa kuweka Raisi atakae kubaliana na sera zetu, unakimbilia Africa
Kuweka Rais atakaekubaliana na Sera zetu? Umemaanisha nn!!!

Raila kwa mbaal anaonekana kuondoa economic tensions kati yetu na wao siku za usoni.
 
Mkuu umeongea mengi ila kwangu yote hayo ni ideology,unaongelea Rwanda 🇷🇼, wakati sisi tunapiga demo wenzetu wanajenga nchi yao, Tanzania 🇹🇿 in 70s up to 80s its was a centre of power for Africa, but now we're laughing stock, any top visit kutoka nje lazima watue kwanza Dar es Salaam, na Africa ilikua inasikiliza kwanza tamko kutoka Dar, Leo US,Russia foreign minister's hawaji Dar, wanaona bora waende kwanza Kinshasa au kampala au joberg, Tanzania hatuna ushawishi wowote kuhusu uchaguzi huu wa Kenya and we totally lost respect
Hiyo rwanda inayojengwa ipi!?...nchi ni nusu ya mkoa wa tabora na barabara hazipitiki!!
 
Shushu mbombezi alikuwa huko tangu kampeni zianze Mzee Wassira,nahisi wako kwa Odinga.
 
Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province.

Nchi yetu Tz ni Big brother wa Kenya na iko strategically important kwa nchi ya Kenya kiuchumi kijeshi ki eneo (geographically) pamoja na kiutamaduni, kwa 70% uchumi wa Tz ni kichocheo cha uchumi wa Kenya hasa kwenye malighafi na madini.

Je, Tz inaweza kushawishi siasa za Kenya jambo ambalo ni muhimu ili kupata political stability kukuza uchumi na kua na military supremancy over Kenya au tumekubali kua (sleeping giant) kama wa Kenya wanavo tukejeli wakati uwezo wa kumudu siasa na viongozi wa nchi kama Kenya Rwanda uganda Burundi Zambia tunao.

Nyerere alotumia such foreign policy kufanya Tz kua kitovu cha siasa katika Africa mashariki na kati yoyote kua Raisi nchi hizo lazima apitie Arusha au Dar es salam kupata kuungwa mkono na mualimu.

Mfano siasa za kimataifa Britain lazima ijue na kushawishi Raisi atakea kua US, na Russia hivyo hivyo ili kubaki relevant katika foreign policy, Je Tz tumeacha hiyo policy ya mualimu tutabaki relevant? au tutafunikwa na ka nchi kama Uganda ambao kame jipanga kijeshi kila sehemu kapo m7 anekua dictator anae pendwa na US Br Russ, kwasbb ya military influence yake katika eneo zima la Africa mashariki na kati.

Tz tunahitaji kiongozi mwenye ushawishi kama alivyo kua Nyerere, lasivyo tutaanza kuongopa na ka nchi kama Rwanda ambayo sio hata robo kwa nchi yote kwa kila kitu.
Nchi imejaaa wajinga itakuwaje na ushawishi?
 
Hiyo rwanda inayojengwa ipi!?...nchi ni nusu ya mkoa wa tabora na barabara hazipitiki!!
Kiongozi u can answer better than this, ukubwa au udogo wa nchi hauna umuhimu wowote, umuhimu upo kwenye quality, Rwanda vs Tanzania Kavita muda huu tutahangaika nao, Rwanda ndio walio take isis head on kaskazini mwa Mozambique (sadc bado wanaongea),services deliver ndani ya Rwanda ipo more organized kuliko sisi, na elewa Rwanda kijeshi walishaingia ndani ya super power SA na kufanya operation ya kijeshi na kuondoka including ya Maputo, mkuu bila ya kuanza kuambiana ukweli ndani ya nchi yetu hatufiki kokote, unafiki na uzuzu ndio uliotufikisha hapa na ukunguru wetu
 
Nyi watu mna shida...nilikua napinga wanaodai rwanda imejengeka kuliko tz,nikatoa hoja ikiwa rwanda ndogo kuliko tabora barabara hazipitiki,hiyo rwanda iliyojengwa ni ipi!?..2013 wakati tunashughulika na m23,mkazi mkuu wa ikulu pale Kigali alihama,tukatoa sampo ya kichapo,akajua Nani mkubwa,Mozambique rwanda kapelekwa kulinda maslahi ya ufaransa,tz siyo Trojan horse,jwtz siyo jeshi la kukodi,kufanya operations South Africa hata wauza unga hufanya
 
Kumbe kuna upumbavu hapa,let's agree to disagree
 
Back
Top Bottom