Mliosema bila Hayati Magufuli miradi itakwama mmeumbuka, Rais Samia anapambana nayo

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Wakati wa Utawala wa Mkono wa Chuma kuna Mtu alikuwa anajinadi kuwa Miradi aliyoianzisha hakuna wa kuikamilisha bila yeye na Wapambe wake wakawa wanasema Aongezeee Muhula wa Urais ili Aikamilishe na Wakaenda mbali zaidi kuwa ATAKE au ASITAKE lazima Aongezewe Muda. Kwa bahati mbaya sana Binadamu anapanga kumbe na MUNGU anapanga zaidi huyo Mtu Hatunae tena .

Na Wapambe wake pia Hawapo kwenye Nafasi zao badala yake tuna RAIS SAMIA Mama Mchapa kazi Mama wa Kimataifa Mama mwenye HOFU ya MUNGU MIRADI yote ambayo tuliambiwa bila yule Bwana haiwezi kukamilika inaendelea kukamilishwa na RAIS SAMIA na Wapambe wa yule Bwana Wapo KIMYA kama vile Sio wale waliotuambia ATAKE AU ASITAKE LAZIMA yule Bwana AONGEZEWE MUDA
 
Si mlisema mainjia walikosea kwenye hiyo miradi??

Au kaanzisha miradi yake ??

Nilishawaambia, mtaruka ruka weeee na Maneno lakini Samia na genge lake lazima warudi mulemule alikoanzisha CHUMA JPM.
 
Ingekwama kama Marehwmu angekuwa alikuwa anatumia hela ya mfukoni mwake.

Maadam waliokuwa wanatoa pesa bado wapo, miradi iliyoanza wakati wa marehemu Magufuli itakamilika, na mipya itaanza.

Wakati wa Mkapa, Kikwete, hakukuwa na miradi? Ilishindwa kukamilika kwa sababu waliondoka madarakani? Sasa kwa nini miradi iliyoanza wakati wa uongozi wa Magufuli isimalizike pekee ndiyo isimalizike? Labda isiwe na tija.

Hata Samia, atakapoondoka, ataacha miradi isiyokamilika, atakayefuatia ataikamilisha.

Kiongozi anaweza kuondoka au kufa lakini Watanzania ambao ndiyo wanaotoa hela hawawezi kuondoka au kufa wote kwa pamoja.
 
Kuna miradi gani inayoendelea zaidi ya ujenzi wa vyoo kwa pesa za mkopo na uigizaji wa filamu zinazofadhiliwa na ma 'bwanyenye' wasiojulikana??
 
Wakati wa Utawala wa Mkono wa Chuma kuna Mtu alikuwa anajinadi kuwa Miradi aliyoianzisha hakuna wa kuikamilisha bila yeye na Wapambe wake wakawa wanasema Aongezeee Muhula wa Urais ili Aikamilishe na Wakaenda mbali zaidi kuwa ATAKE au ASITAKE lazima Aongezewe Muda. Kwa bahati mbaya sana Binadamu anapanga kumbe na MUNGU anapanga zaidi huyo Mtu Hatunae tena .

Na Wapambe wake pia Hawapo kwenye Nafasi zao badala yake tuna RAIS SAMIA Mama Mchapa kazi Mama wa Kimataifa Mama mwenye HOFU ya MUNGU MIRADI yote ambayo tuliambiwa bila yule Bwana haiwezi kukamilika inaendelea kukamilishwa na RAIS SAMIA na Wapambe wa yule Bwana Wapo KIMYA kama vile Sio wale waliotuambia ATAKE AU ASITAKE LAZIMA yule Bwana AONGEZEWE MUDA
Sio tuu ameisogeza mbele zaidi bali ame roll in mingine mipya kama inavyoonekana kwenye mabajeti huko..

Samia akimaliza Urais wake atashinda tuzo ya amani ya Nobel ya ujasiri na ile ya Mo Ibrahim na atageuka Shujaa mkubwa na model kwa wanawake wengi Sana hapa Afrika.
 
Wakati wa Utawala wa Mkono wa Chuma kuna Mtu alikuwa anajinadi kuwa Miradi aliyoianzisha hakuna wa kuikamilisha bila yeye na Wapambe wake wakawa wanasema Aongezeee Muhula wa Urais ili Aikamilishe na Wakaenda mbali zaidi kuwa ATAKE au ASITAKE lazima Aongezewe Muda. Kwa bahati mbaya sana Binadamu anapanga kumbe na MUNGU anapanga zaidi huyo Mtu Hatunae tena .

Na Wapambe wake pia Hawapo kwenye Nafasi zao badala yake tuna RAIS SAMIA Mama Mchapa kazi Mama wa Kimataifa Mama mwenye HOFU ya MUNGU MIRADI yote ambayo tuliambiwa bila yule Bwana haiwezi kukamilika inaendelea kukamilishwa na RAIS SAMIA na Wapambe wa yule Bwana Wapo KIMYA kama vile Sio wale waliotuambia ATAKE AU ASITAKE LAZIMA yule Bwana AONGEZEWE MUDA
Ni lini na wapi Mhe. Rais Samia alitangaza ushindani na mtangulizi wake? Maneno yenu wenyewe ya vijiweni na mitandaoni halafu mnawahusisha viongozi. Acheni hii tabia. Wewe hapa huisaidii Serikali iliyopo wala CCM bali ni mfitini tu. #Tujengeni nchi, tumsaidie Mhe. Rais na tuache ufitini.🙏🙏🙏
 
Wakati wa Utawala wa Mkono wa Chuma kuna Mtu alikuwa anajinadi kuwa Miradi aliyoianzisha hakuna wa kuikamilisha bila yeye na Wapambe wake wakawa wanasema Aongezeee Muhula wa Urais ili Aikamilishe na Wakaenda mbali zaidi kuwa ATAKE au ASITAKE lazima Aongezewe Muda. Kwa bahati mbaya sana Binadamu anapanga kumbe na MUNGU anapanga zaidi huyo Mtu Hatunae tena .

Na Wapambe wake pia Hawapo kwenye Nafasi zao badala yake tuna RAIS SAMIA Mama Mchapa kazi Mama wa Kimataifa Mama mwenye HOFU ya MUNGU MIRADI yote ambayo tuliambiwa bila yule Bwana haiwezi kukamilika inaendelea kukamilishwa na RAIS SAMIA na Wapambe wa yule Bwana Wapo KIMYA kama vile Sio wale waliotuambia ATAKE AU ASITAKE LAZIMA yule Bwana AONGEZEWE MUDA
SGR inaota majani na vyuma vinaibiwa kimojakimoja huko maporini
 
Ni mwaka mmoja sasa unakwenda wa pili ni mradi upi uliokamilika mpaka sasa ukicha lile daraja la Tanzanite ambalo Magu aliliacha likiwa 90%.
 
Miradi ya vituo vya mafuta vinaota kama njugu. Mama kafungua nchi.
 
Back
Top Bottom