Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wale makamishina wanne wa tume ya uchaguzi ya kenya wametoa sababu kwa nini hawakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume yao. Raila ametumia hoja ya makamishina hao kama msingi wa...
1 Reactions
1 Replies
803 Views
Ukimya wako kwenye mambo ya Taifa na Kimataifa? Umelipwa Madai yako ya Ubunge, lakini bado hatuoni zile kauli za kuwa "Sasa narudi nyumbani" Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Na Simon Mkina MARA zote serikali zenye kuongozwa na watawala dhalimu duniani, huzima mtandao wa intaneti kwa madai makubwa matano; kuimarisha usalama wa taifa, kulinda uchaguzi, kuepusha vurugu...
3 Reactions
2 Replies
734 Views
Tume ya uchaguzi nchini Kenya 16-08-2022 ilitangaza matokeo ya Urais ambapo Wiliam Ruto aliteuliwa kuwa Rais mteule wa awamu ya Tano wa taifa la Kenya , kutokana na kuteuliwa kwake kuwa Rais, nchi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba...
14 Reactions
56 Replies
4K Views
Ndio si unajua !! Wanasiasa ndio haswaa!! Wenye mradi wao. Waite wakulima ikulu ,kamwe hawatazungumzia Katiba mpya. Unajua KwaninI hii tu iliyopo imefanya maajabu nchi imepiga hatua kubwa sana...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Na WyEST, MOROGORO Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Binafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru. Rais Samia...
7 Reactions
127 Replies
8K Views
Rais Samia amewaonya askari wa uhamiaji wasio waaadilifu, wanaohujumu fedha za vibali vya makazi na viza na kutaka hatua zichukuliwe kwa wote wanaofanya uhujumu huo. Rais Samia amesema kupitia...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Tathmini zinaonyesha kwamba kuna uhimilivu mkubwa wa bei kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, huku hatua kadhaa zikichukuliwa na serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
0 Reactions
8 Replies
990 Views
Maadhimisho haya yatafanyika shinyanga, huyu mwamba alikuwa kimya sasa naona kasema hapana liwalo na liwe. Kaeni tayari mwamba huyo hapo yani ukimwona tu unajua Leo kazi tunayo, anakuangushaje kwa...
17 Reactions
35 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi kongwe katika Ukanda wa Afrika na Afrika Mashariki, Tanzania ina mchango mkubwa katika ustawi na usalama wa nchi za Afrika Mashariki na Kenya ikiwepo. Urafiki wa Tanzania na...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Lipo kubwa la kujifunza Tanzania kutokana na uchaguzi wa Kenya,kisiasa,kimaadili na kijamii. Siasa za Kenya zimejengwa na ushindani mkubwa wa kisera na utoaji wa haki sawa kwa vyama vyote vya...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe 16-20 Agosti, 2022 yenye lengo la kuimarisha uhai wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Imeripotiwa kwamba mamluki Joseph Selasini, aliyeongoza mapinduzi haramu ndani ya chama cha NCCR Mageuzi ametimuliwa rasmi baada ya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kumtambua rasmi Mbatia kuwa...
21 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni ukweli mtupu kwamba wananchi ndiyo waliokuajiri. Huwezi kuwatisha na kuwakemea kwenye mikutano yako pale wanapoibuka na hoja zenye mashiko! Jibu hoja za wananchi acha kuwatishia eti utawaweka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe! Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa. Ni nadra kupita siku bila...
23 Reactions
186 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…