Shaka Hamdu Shaka awasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuimarisha uhai wa chama, kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM

AFRIKAMOJA

Member
Aug 11, 2022
30
37
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe 16-20 Agosti, 2022 yenye lengo la kuimarisha uhai wa chama, kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2020-2025 pamoja na kusikiliza kero za wananchi.

Shaka amepokelewa katika uwanja wa ndege Tabora na kamati ya siasa ya mkoa wa Tabora pamoja na viongozi wa serikali wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora Mheshimiwa Balozi Batilda Burian.

Baada ya mapokezi hayo alipata nafasi ya kuvishwa skafu na vijana wa itifaki pamoja na kukutana na kamati ya siasa ya mkoa ambapo alipokea taarifa za kazi kwa chama na serikali na baadae leo ziara yake itaanzia wilaya ya Kaliua.

Katika ziara hiyo Shaka ameambatana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya CCM ya Wazazi Tanzania Ndg Gilbert Kalima.

'CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu na Jiandae Kuhesabiwa Agosti 23,2022'

#CCMImara
#KaziIendelee

IMG-20220816-WA0042.jpg
IMG-20220816-WA0032.jpg
IMG-20220816-WA0035.jpg
IMG-20220816-WA0039.jpg
IMG-20220816-WA0033.jpg
IMG-20220816-WA0038.jpg
IMG-20220816-WA0021.jpg
IMG-20220816-WA0030.jpg
IMG-20220816-WA0024.jpg
 
Kwa Sasa Ni kazi juu ya kazi kila mahali, hakuna kiongozi wa chama au serikali anayekaa ofisini kusubiri kero kwa sasa, kila kiongozi anakwenda kuwafuata watanzania waliko ili kuwasikiliza na kutatua kero za zao,

Saizi cheo Ni utumishi na siyo ufalme, saizi ukiwa kiongozi ndani ya chama au serikali kazi yako Ni kuwatumikia wananchi kwa nguvu zako zote, kwa sasa wananchi ndio mabosi

Hongera Sana CCM na serikali ya CCM kwa kazi kubwa inayoendelea kufanywa na viongozi

Hakika CCM Ni chama kiongozi, Ni chama tumaini na tegemeo kwa watanzania katika kuwaletea maendeleo
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe 16-20 Agosti, 2022 yenye lengo la kuimarisha uhai wa chama, kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama (CCM) hicho ya mwaka 2020-2025 pamoja na kusikiliza kero za wananchi.

Shaka amepokelewa katika uwanja wa ndege Tabora na kamati ya siasa ya mkoa wa Tabora pamoja na viongozi wa serikali wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora Mheshimiwa Balozi Batilda Burian.

Baada ya mapokezi hayo alipata nafasi ya kuvishwa skafu na vijana wa itifaki pamoja na kukutana na kamati ya siasa ya mkoa ambapo alipokea taarifa za kazi kwa chama na serikali na baadae leo ziara yake itaanzia wilaya ya Kaliua.

Katika ziara hiyo Shaka ameambatana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya CCM ya Wazazi Tanzania Ndg Gilbert Kalima.

CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu na Jiandae Kuhesabiwa Agosti 23,2022'

#CCMImara
#KaziIendelee
 

Attachments

  • VID-20220816-WA0060.mp4
    8.2 MB
  • IMG-20220816-WA0048.jpg
    IMG-20220816-WA0048.jpg
    76.6 KB · Views: 6
  • IMG-20220816-WA0052.jpg
    IMG-20220816-WA0052.jpg
    55.1 KB · Views: 5
  • IMG-20220816-WA0056.jpg
    IMG-20220816-WA0056.jpg
    53.4 KB · Views: 4
  • IMG-20220816-WA0055.jpg
    IMG-20220816-WA0055.jpg
    75.6 KB · Views: 5
  • IMG-20220816-WA0053.jpg
    IMG-20220816-WA0053.jpg
    68.1 KB · Views: 4
  • IMG-20220816-WA0049.jpg
    IMG-20220816-WA0049.jpg
    73.7 KB · Views: 5
  • IMG-20220816-WA0047.jpg
    IMG-20220816-WA0047.jpg
    100 KB · Views: 5
  • IMG-20220816-WA0050.jpg
    IMG-20220816-WA0050.jpg
    67.5 KB · Views: 5
  • IMG-20220816-WA0048(1).jpg
    IMG-20220816-WA0048(1).jpg
    76.6 KB · Views: 5
Bila shaka hatumii government resources, kama air tickets, magari ya serikali etc etc
 
Back
Top Bottom