Mbowe mgeni rasmi siku ya vijana duniani

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,590
Reaction score
31,133
Maadhimisho haya yatafanyika shinyanga, huyu mwamba alikuwa kimya sasa naona kasema hapana liwalo na liwe. Kaeni tayari mwamba huyo hapo yani ukimwona tu unajua Leo kazi tunayo, anakuangushaje kwa mfano. Chezea mbowe wewe. Subiri hizo cheche tar 12 mwezi 8. Shinyanga inaenda kulipuka.

Nashauri hiyo siku mara baada ya kulihutubia taifa hapo hapo kwenye mkutano aamuru vijana tuanze kuandamana barabarani maana ndochance pekee iliyobaki, tuandamane kumkataa huyu mama, kupinga gharama za maisha, kutafuta demokrasia na haki.
1660025054838.jpg
 
Maadhimisho haya yatafanyika shinyanga, huyu mwamba alikuwa kimya sasa naona kasema hapana liwalo na liwe. Kaeni tayari mwamba huyo hapo yani ukimwona tu unajua Leo kazi tunayo, anakuangushaje kwa mfano. Chezea mbowe wewe. Subiri hizo cheche tar 12 mwezi 8. Shinyanga inaenda kulipuka.

Nashauri hiyo siku mara baada ya kulihutubia taifa hapo hapo kwenye mkutano aamuru vijana tuanze kuandamana barabarani maana ndochance pekee iliyobaki, tuandamane kumkataa huyu mama, kupinga gharama za maisha, kutafuta demokrasia na haki. View attachment 2318779
Tutamskiliza huyu Role model wa Tanzania
 
Nashauri hiyo siku mara baada ya kulihutubia taifa hapo hapo kwenye mkutano aamuru vijana tuanze kuandamana barabarani maana ndochance pekee iliyobaki,
Umeandika kishabiki na kishamba sana, unafikiri maandamano ndiyo njia pekee ya kudai Uhuru na Haki.
 
Ile movement ya Katiba Mpya naiona kimya, sijui ndio anaendelea kuwavutia kasi CCM waliodai wataanzisha mchakato ambao wala haujulikani utaanza lini.

Na mikutano ya hadhara nayo itaanza lini? au ndio anaendelea kuyaamini mazungumzo yao ya maridhiano? anyway, naona kuna mambo mengi ambayo hata sielewi maendeleo yake.
 
Maadhimisho haya yatafanyika shinyanga, huyu mwamba alikuwa kimya sasa naona kasema hapana liwalo na liwe. Kaeni tayari mwamba huyo hapo yani ukimwona tu unajua Leo kazi tunayo, anakuangushaje kwa mfano. Chezea mbowe wewe. Subiri hizo cheche tar 12 mwezi 8. Shinyanga inaenda kulipuka.

Nashauri hiyo siku mara baada ya kulihutubia taifa hapo hapo kwenye mkutano aamuru vijana tuanze kuandamana barabarani maana ndochance pekee iliyobaki, tuandamane kumkataa huyu mama, kupinga gharama za maisha, kutafuta demokrasia na haki. View attachment 2318779
Katiba mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA Bado ni agenda no. 1.

Maridhiano yoyote yasiende kinyume na Agenda hiyo kuu.

Serikali ya mseto haikubaliki Bara, tunausubiri Kwa HAMU kauli Yako Ndugu Mbowe.

Ameeeeen.
 
Maadhimisho haya yatafanyika shinyanga, huyu mwamba alikuwa kimya sasa naona kasema hapana liwalo na liwe. Kaeni tayari mwamba huyo hapo yani ukimwona tu unajua Leo kazi tunayo, anakuangushaje kwa mfano. Chezea mbowe wewe. Subiri hizo cheche tar 12 mwezi 8. Shinyanga inaenda kulipuka.

Nashauri hiyo siku mara baada ya kulihutubia taifa hapo hapo kwenye mkutano aamuru vijana tuanze kuandamana barabarani maana ndochance pekee iliyobaki, tuandamane kumkataa huyu mama, kupinga gharama za maisha, kutafuta demokrasia na haki. View attachment 2318779
Ustaadh Aboubakar Mbowe .
 
... Siku ya Vijana Duniani 2022 inafanyika Shinyanga?
Umeuliza swali zuri sana , na nadhani hili linaweza kuwa swali bora kuliko yote yaliyoulizwa hapa jf tangu mwaka huu uanze .

Ni hivi , ilipo Bavicha ndio Dunia ilipo , na ndio maana tunasema siku ya vijana duniani iko Shinyanga kwa vile tu Bavicha wameiweka hapo , pamoja na kwamba nchi hii ina jumuiya nyingi za vijana ikiwemo inayoitwa UVCCM , lakini huwezi kuisikia jumuiya hiyo ikiwasemea vijana .
 
Back
Top Bottom