Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja. Afrika tuoneshe kujitambua.
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Master Mind ni akina nani Katika uchaguzi wa kisiasa iwe Afrika au ulaya? Je, wajua kwanini Raila Odinga alikuwa analalamika kabla ya matokeo na wakati wa kampeni kutangazwa kuwa ameibiwa kura au...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MBOWE UMEZEEKA SASA, ACHA KUTENGENEZA ZENGWE JIMBONI HAI, WANANCHI WALISHAAMUA KWENDA NA SAASHISHA MAFUWE Na Rogan Swai, Narumu Blog Habari za Siku nyingi Mwenyekiti wa kudumu wa Chama chetu Cha...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Bi sent 50 una haki kutoa maoni yako,lakini pia nafikiri kwa mtazamo wangu ama umeielewa vibaya makala ile ya Kasungura au umepotoka hasa kwa kumtuhumu moja kwa moja mwandishi kuwa anatumiwa.Mimi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ziara za mwenezi Shaka zinakuwa za moto sana maana anaeleza kazi kubwa anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi. Anasikiliza kero na kuhakikisha wahusika wanatoa majibu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Serikali kupitia Benki ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) imeweza kuwa mdau mkubwa kuwezesha mabenki kutoa mikopo kwa wakulima kutoka Benki mbili zinazotoa mikopo kwa wakulima...
1 Reactions
5 Replies
691 Views
Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga. Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga, Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu Salaam; Ni nadra sana kuona yani sana kuona Helicopter kwenye moja ya msafara wa Raisi. Hii helicopter iliyokua anga la singida kwenye msafara wa Rais ilikua ya kazi gani? Hii nchi ni...
11 Reactions
128 Replies
18K Views
Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ameonyesha wazi kutoridhika na utendaji kazi wa wapiga picha waliokuwa kwenye msafara wake kwa kushindwa kupiga picha nzuri zinazoonyesha umati wa watu wanaofika...
22 Reactions
198 Replies
15K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda...
1 Reactions
2 Replies
780 Views
Hii inaitwa bampa to bampa Fomu zote zinapokelewa Hakuna msamiati wa kukosea kujaza fomu Pili CCM kumbe hakunaga kupita bila kupingwa Hii ni tofauti sana na Uchaguzi mkuu au Uchaguzi wa...
1 Reactions
10 Replies
939 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye leo anatarajiwa kuzindua huduma za mawasiliano ya Internet zitakazokuwa zikipatikana kwenye Mlima Kilimanjaro. Kwenye ukurasa...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Nampongeza sana Mhe Paschal Mayalla kwa kuzingatia kichwa cha habari hapo juu Mvumilivu hula mbivu walisema Wahenga wetu Endelea kuwa Mtulivu, Makini, Msikivu, Mnyenyekevu na Mtiifu. Kuna...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022 Waziri Nape Nnauye: Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Mbunge wa Hai ndugu Saashisha Mafuwe amekuwa source ya mgogoro kati ya muwekezaji wa makoa farm na wananchi wa kijiji cha uduru ambao ndiyo wamiliki wa shamba hilo. Muwekezaji huyo mjerumani...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
RAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA ==== Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Natamani kujua ni kwanini Nape anatumia lugha za kigeni kutoa kuelezea suala la mtandao kwenye mlima kilimnjaro. Nini hasa kusudi lake?
0 Reactions
5 Replies
945 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…