Uwajibikaji: Aina na jinsi unavyofikiwa

Uwajibikaji: Aina na jinsi unavyofikiwa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
574
Reaction score
534
UWAJIBIKAJI

Namna ya kufikia uwajibikaji ina vipengele vitatu:

1. Uwajibikaji binafsi – mtu kuwajibishwa kwa kosa alilotenda yeye mwenyewe, iwe ni kosa la madai au jinai, kwa kuzingatia vigezo vya kisheria.

2. Uwajibikaji wa kiongozi au kamanda – kuna vigezo maalum; kiongozi au kamanda lazima awe na uwezo wa kuamuru, kuelekeza au kusimamia aliyetenda kosa, na awe alijua au alipaswa kujua kuhusu tendo hilo kabla halijatendeka.

3. Uwajibikaji wa taasisi – Tume inaongozwa na hadidu za rejea, na si jukumu lake kumtia mtu hatiani. Mfumo huu wa kisheria unatumika katika nchi 57 za Jumuiya ya Madola kwa zaidi ya miaka 150

Mwenyekiti wa TUME - Jaji Mstaafu Chande.
 
Wewe kunguni wa mafisadi unapanua mdomo hapa baada ya kuambulia posho ya buku 7 unafahamu maana ya neno "UWAJIBIKAJI"

Yaani watu 700+ wanapotea maelfu wanauwawa halafu unataja uwajibikaji.

Hao uliowataja wanawajibika kwenye nini??
20260425_094239.jpg
 
Back
Top Bottom