saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini.
Bahati mbaya sana Kamati hii imejificha na lawama zote zinaelekezwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan badala ya Kamati iliyoanzisha na kupitisha mambo hayo.
Kamati ya Bajeti kwa kushirikiana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwa manufaa wanayoyajua wao kundi la la watu 24 tu ndio Taifa zima linahangaika sasa kwa maamuzi ya watu hawa wachache huku wakiacha Rais abebeshwe lawama zisizomuhusu.
Kamati hiyo ya Bajeti inaundwa na wabunge wafuatao ili watanzania tuwafahamu kwa majina yao na majimbo yao wanayotoka kuliko kuendelea kumlaumu Rais ambaye hahusiki na jambo lolote.
1. Mhe. Sillo Daniel Baran- Mwenyekiti wa Kamati
2. Mhe. Omari Mohamed Kigua- Makamu Mwenyekiti
3. Mhe. Ali Hassan Omar King
4. Mhe. Oran Manase Njenza
5. Mhe. Josephat Sinkamba Kandege
6. Mhe. Leah Jeremiah Komanya
7. Mhe. Issa Jumanne Mtevu
8. Mhe. Joseph George Kakunda
9. Mhe. Shally Josepha Raymond
10. Mhe. Subira Hamis Mgalu
11. Mhe. Ester Nicolaus Matiko
12. Mhe. Jonas William Mbunda
13. Mhe. Mariam Madalu Nyoka
14. Mhe. Juma Hamad Omar
15. Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo
16. Mhe. Tarimba Gulam Abbas
17. Mhe. Amina Iddi Mabrouk
18. Mhe. Riziki Said Lulida
19. Mhe. Halima James Mdee
20. Mhe. Zaytun Seif Swai
21. Mhe. Dk. Charles Kimei
22. Mhe. Shamsi Vuai Nahodha
23. Mhe. Mariam Nassor Kisangi