Nani anafatilia uropokaji wa Kafulila?

Nani anafatilia uropokaji wa Kafulila?

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,411
Reaction score
38,023
Heshima sana wanajamvi,

Kafulila tunaweza kumweka katika kundi la wanasiasa wepesi sana.
Hana akili zaidi ya kujikomba na kusifu waliomteua.

Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuna nini hadi Tumbili kila uchao utamsikia kasema hili kabwatuka lile.

Ukitazama kauli zake nyingi zimejaa ujinga na upumbavu wa kiwango cha hali ya juu sana.
 
Ndiyo maana Jaji Werema alimbatiza jina la Tumbili.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kafulila tunaweza kumweka katika kundi la wanasiasa wepesi sana.
Hana akili zaidi ya kujikomba na kusifu waliomteua.

Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuna nini hadi Tumbili kila uchao utamsikia kasema hili kabwatuka lile.

Ukitazama kauli zake nyingi zimejaa ujinga na upumbavu wa kiwango cha hali ya juu sana.
JAMBAZI NA FISADI NA BEDUI ROSTAM AZIZI
 
Back
Top Bottom