Rais Samia amesema ilibidi ateue majaji 42 lakini kutokana na hali ya uchumi amelazimika kuteua majaji 22 wa kuanzia.
Amesema hali itakapokaa vizuri atateua zaidi kwa kadiri ya uhitaji. Ameyasema...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua Kikao Kazi cha Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi Tanzania kitachofanyika katika Shule ya Polisi, Moshi mkoani Kilimanjaro. Kikao hicho cha siku tatu...
Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake...
Nazungumza nawe Brigedia Jenerali Hassan Mabena, Mkuu wa Tawi la Utawala-Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), juma lililopita ulitangaza kuhusu mafuzo ya kujitolea ya JKT kwa vijana wa kitanzania...
Jamani fuatilieni huko Kenya jinsi IEBC inavyovuliwa nguo. Kiukweli naanza kusadiki kuwa JJ Mnyika hajausika kuwapeleka bungeni akina Halima Mdee. Kumbe hizi tume za uchaguzi zina mambo mengi...
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda amesema kwenye simu zimejaa tozo na kwenye mafuta ni tozo tupu zinazofikia nane kwenye kila lita ya mafuta. Rungwe amehoji sababu ya kuwa na tozo zote...
Nimeisikiliza hotuba ya Rais Mwinyi imenishangaza sana.
Nimejiuliza na kutafakari sana kuwa kama viongozi hawa waliopewa kila aina ya nyenzo ili ziwawezeshe kufanya kazi wanalalama je, wananchi...
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.
Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na...
Waziri wa Mifugo Mh Masbimba amesema Serikali kupitia wataalamu wake imetayarisha bei Elekezi ya Mifugo na kinachosubiriwa sasa ni kikao cha Wadau ili kuzipitisha.
Mh Masbimba amesema hayo akiwa...
Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua...
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwateua wakuu wa bodi za taasisi za umma, wanazuoni wamesema hatua ya kuhusisha watu kutoka sekta binafsi kuziongoza bodi hizo inatafsiri kwa vitendo dhamira yake...
Akiwa mkoani mwanzo akiongea na maafisa wa Polisi DCI Ramadhani Kingai amesema kila wakati Jeshi la polisi linanyoshewa vidole kutokana na baadhi ya polisi kutotenda haki kwa wananchi kwa...
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule...
Kampuni ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (School of Medical Engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha...
Mapema wiki hii, mwanasanyansi wa kimataifa Mtanzania, mwanamama Dokta Mwelecele (Mwele) Malecela, alitangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha...
Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.
Huyu...
Kuna watu wamezaliwa mchana wengine usiku wa Giza Totoro. Hivi ni kwanini teuzi zinazunguka kwa watu wale wale? Anatolewa huku anapelekwa kule, hata akistaafu anaambiwa tunakupa kazi ya kukusaidia...
DRC imeingia kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Imekuja na vitu vifuatavyo:-.
1. Imekuja na Population ya Watu Milioni 92. Idadi hii ya watu itaifanya Jumuiya yetu sasa kuwa na Population ya...
Nauliza mzee Lowassa yupo wapi? Mbona hatumsikii kabisa.
Tumezoea kumuona mzee Lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekuwa kimya muda mrefu sijui...